Mjomba, Mtoto wa Nyoka Hafundishwi Kuuma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjomba, Mtoto wa Nyoka Hafundishwi Kuuma

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by IshaLubuva, Jul 9, 2009.

 1. I

  IshaLubuva JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2009
  Joined: Dec 4, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Waswahili hivi Nyoka huwa anauma au anang'ata?
   
 2. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  Anagonga
   
 3. I

  IshaLubuva JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2009
  Joined: Dec 4, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kiswahili hiki mmmmh.

  Alaska nadhani hicho ni kiswahili cha mazoea kwa maana kuwa kugogwa au kugoga haijumuishi muingiliano kati ya kinachogonga na kinachogogwa. Mathalani kugonga kengele, kugonga mlango, kugogwa na gari, kugonganisha glasi, n.k.. Lakini nia ya Nyoka katika kitendo kile huwa ni kupenyeza meno yake kwenye mwili wa adui yake.
   
 4. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  tunaposema 'the snake strikes' sasa hicho kitendo si ndio kugonga
   
 5. Homo Habilis

  Homo Habilis Senior Member

  #5
  Jul 9, 2009
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 189
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  anagonga na kuacha meno yake yenye sumu pale alipogonga,
  kung'ata ni kuweka meno na kushikilia mpka linatokea jeraha mahali hapo, kuuma ni kuweka meno mpaka ukatoka na kipande cha eneo ulipoweka meno yaani unatoka na kitu kisha unaacha jeraha.
  Nimejaribu kufafanua.!
   
 6. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Yote hapo juu ni sawia kabisa kwani msingi mkuu wa lugha ni kuwasiliana na kuelewana
   
 7. mbuvu

  mbuvu Member

  #7
  Jul 9, 2009
  Joined: Jul 3, 2009
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  aka sha lubuva no swari che wo kurya
   
 8. I

  IshaLubuva JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2009
  Joined: Dec 4, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kiwi vi chadamire kweri ee mwana wa Maka
   
Loading...