Mjomba karibu sana CCM!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Msanii katika tasnia ya kughani mwenye style ya kipekee duniani na anayependa kutembea peku ndugu Mrisho Mpoto alias Mjomba amejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi na kupokelewa na Katibu mkuu wa CCM ndugu Bashiru Ally.
 
Alikuwa ccm toka zaman ila hakuwa na kadi.saizi ameamua awe na kadi.Haya sasa agombee ubunge basi ili awasaidie wananchi wake wajenge choo.Nyumba ni choo.
 
CCm inaendelea kupendwa
 
Msanii katika tasnia ya kughani mwenye style ya kipekee duniani na anayependa kutembea peku ndugu Mrisho Mpoto alias Mjomba amejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi na kupokelewa na Katibu mkuu wa CCM ndugu Bashiru Ally.

Kwani yeye ndiye wa kwanza??, si kaanza Harmonizer 🤣
 
Msanii katika tasnia ya kughani mwenye style ya kipekee duniani na anayependa kutembea peku ndugu Mrisho Mpoto alias Mjomba amejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi na kupokelewa na Katibu mkuu wa CCM ndugu Bashiru Ally.
Mjomba alikuwa CCM siku nyingi katafuta kiki tu ya kujifanya kujiunga na ccm leo
 
Msanii katika tasnia ya kughani mwenye style ya kipekee duniani na anayependa kutembea peku ndugu Mrisho Mpoto alias Mjomba amejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi na kupokelewa na Katibu mkuu wa CCM ndugu Bashiru Ally.
Mjanja huyu anaenda kuganga njaa
 
Nashukuru sana Mwenyekiti wetu Mh. JPM kumpiga chini kabisa au kutokumuweka huyu Mpoto ktk events zake.. Katika watu siwapendi automatically ni huyo Mpoto. Very primitive alafu hata nikimuona nahisi uchafu kabisa.. I just disliked him, mniwie radhi hata usanii wake nauchukia kabisa. Alafu anatafuta kick tu huyo mbona muda tu alisema yeye ni CCM. Kaona kawa sidelined anaanza kutafuta kick.
 
CCm inaendelea kupendwa

Jitahidini kuvutia hao wasanii maana ccm ina uhaba wa vijana, cdm inajitosheleza maana inapendwa kwa dhati na watu hasa vijana. Huenda mkipata hao wasanii mtaacha kutumia vyombo vya dola kupora kura ili kujitangaza washindi.
 
Hivi mikutano ya kisiasa si marufuku Tanzania leo pale uwanja wa uhuru CCM walikua wanafanya nini?..hii nchi kwakweli mnawezana wenyewe watanzania
 
Ulikuwa mkutano wa ndani. Kipi hujaelewa hapo?
 
Wakina mbowe na kina mdee wanaozungukwaga na maaskari tena wakiwa ndani ya ofisi zao za chama inakuaje hapo...
NB:NAOMBA TUJADILI HII MADA TUKIONGELEA REALITY MAANA MIMI SIO MNAZI WA CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA LEO NAWEZA KUMSIFIA MAGUFULI AKIFANYA VIZURI KESHO AKIZINGUA NAMPONDA HATA WAPINZANI WAKIFANYA VIZURI NAWAPONGEZA WAKIZINGUA NAWAPONDA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom