Mjomba angu MASAWE.....................!

Hongera zake, lazima tuwe na uchungu wa shilingi kama wachaga.
 
hawa watu bwana kweli hawakuja kusuka shanga mjini. Ukimkuta anayefuga kwake kuna kila aina ya mfugo na duka la bidhaa juu..............
 
hiyo ndo raha ya wachaga hawachagui kazi as long as wanapata chochote.
 
Akianza kuburuza vogue
utasikia jamaa alikuwa mwizi haiwezekani kapata wapi hela
kumbe kakomaa hata lunch haijui!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…