Mjii wa arusha haustaili kuwa jiji

Jiji la Arusha linaongoza kwa maandamano duniani, kwa mwezi wanafanya maandamano mara kumi yasiyokuwa na tija.

Ritz kuna wakati unanivutia na wakati mwingine unanishangaza....sasa hii ya parking na maandamano imechanganyikaje......?
 
Mwanza, Tanga na Mbeya wanaolinganishwa pamoja, Arusha na Dar,,,hapo sawa!

39846844122359926318421.jpg

kwani the second largest city in Tanzania ni ipi!?, ikiwa ni Arusha mi nakufa!
 
kwani the second largest city in Tanzania ni ipi!?, ikiwa ni Arusha mi nakufa!
ingekuwa tunaangalia miji kwa population na ukubwa wa eneo basi miji ya China na India ingekuwa inaongoza duniani!!

Angalia ni miji gani inachangia zaidi katika kuingiza Revenue (Mapato Tanzania) sio miji gani yenye waswahili wengi weweee..

Miji inayoongoza kwa mwaka uliopita:

1- Dar es Salaam
2- Arusha
3- Kilimanjaro
4- Morogoro
5- Mwanza

66006424.jpg
 
ingekuwa tunaangalia miji kwa population na ukubwa wa eneo basi miji ya China na India ingekuwa inaongoza duniani!!

Angalia ni miji gani inachangia zaidi katika kuingiza Revenue (Mapato Tanzania) sio miji gani yenye waswaili wengi weweee..

Miji inayoongoza kwa mwaka uliopita:

1- Dar es Salaam
2- Arusha
3- Kilimanjaro
4- Morogoro
5- Mwanza

66006424.jpg

kwani second largest city ni ipi!? Au unadhani wanaangalia wapi kwenye wazungu wengi!? Halafu hizo takwimu nina wasiwasi nazo, Arusha au Morogoro hata Kilimanjaro kuna vyanzo gani vya mapato kuzidi Mwanza, je kuna viwanda vingi! Jibu ni Hapana.
 
wakuu wa vyuo muwe mnapiga kitabu basi na nyie!!:A S-coffee::A S-coffee:
 
Wewe watu wanaongelea ukubwa unaleta mapato hapa. Unafanya kazi TRA mzee?

ingekuwa tunaangalia miji kwa population na ukubwa wa eneo basi miji ya China na India ingekuwa inaongoza duniani!!

Angalia ni miji gani inachangia zaidi katika kuingiza Revenue (Mapato Tanzania) sio miji gani yenye waswahili wengi weweee..

Miji inayoongoza kwa mwaka uliopita:

1- Dar es Salaam
2- Arusha
3- Kilimanjaro
4- Morogoro
5- Mwanza

66006424.jpg
 
[h=1]List of cities in Tanzania[/h] From Wikipedia, the free encyclopedia
Jump to: navigation, search

Dar es Salaam, largest city in Tanzania

Mwanza, Tanzania's second largest city

Arusha

Zanzibar

This is a list of cities and towns in Tanzania.
List of cities in Tanzania
RankCityPopulationRegion
1978198820022007
1.Dar es Salaam769.4451.205.4432.398.5092.915.878Dar es Salaam
2.Mwanza110.553172.287378.327480.279Mwanza Region
3.Zanzibar City110.531157.634351.902441.664Zanzibar
4.Arusha55.223102.544282.712385.907Arusha Region
5.Mbeya76.601130.798256.652317.089Mbeya Region
6.Morogoro60.782117.760221.286272.268Morogoro Region
7.Tanga103.399137.364208.791235.919Tanga Region
8.Dodoma45.80783.205159.193196.006Dodoma Region
9.Kigoma50.07574.224144.852178.386Kigoma
10.Moshi52.04696.838144.336165.559Kilimanjaro Region
11.Tabora67.38892.779135.243152.072Tabora Region
 
Kila sehemu anayotaka kupaki hapa arusha unakuta kibao reseved park sasa sisi wengine tupaki wapi?unakuta mtu mmoja kachukua parking hadi nane peke yake eti kwa ajili yake na wateja wake.alafu tunataka arusha iwe jiji.Jiji gani halina parking?meya na wakurugenzi hawaoni hii tabu hapa mjini?

sio tunataka arusha mwezi jana imeshaidhinishwa kuwa jiji ,sema arusha ni jiji la wagagigikoko .jiji la adhi ya karne 17 .jiji lenye asilimia 94 ujenzi holela .ni upuuzi na mpuuzi tuu ndio anaweza sema a town nini jiji ,
 
Acha masihara,Watu kutoka Mbeya,Tanga,Mwanza wakifika Arusha wanabro wenyewe alafu wanaambiwa miji yao ni majiji na Arusha sio!!!

Nani kabro hapo Arusha, labda wale wa Mbeya. Hoja ya msingi hapa sio ulinganifu wa miji bali ni mji wa Arusha haustahili kuwa jiji kwa vile hakuna parking, haya ndiyo maudhui ya uzi huu, sasa kubro na kwingineko wapi na wapi! Weka hoja kusapoti au kupinga Arusha kuwa jiji au la kwa kuzingatia parking.
 
we uliyetoa statistics za TRA umemislead wasomaji wasiojua maana ya neno hits.Hits maana yake ni idadi ya watu walioclick link kwenye website.Tafuta hoja nyingine na si hiyo uloweka!!!
 
Back
Top Bottom