cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 653
Jamaa kweli kweli alitapeliwa, ulaghai umeanza baada ya kutumiwa za nauli akaja na sound eti babu anataka angalau za vifaranga 10.Kazi ipo sijui kwanini kuna watu wana tabia ya kuharibu biashara za mitandaoni kiasi kwamba hata tunaofanya aina hizi za biashara tunaonekana waongo.Mkuu pole kwa yaliyokukuta siku ingine chukua tahadhari unapofanya biashara za mitandaoni ni vizur ujue kwanza ofisi ya muhusika ilipo ndo utume hela.
Utajikuta unamkamata na kumfikisha polisi then polisi hao hao ndiyo wanaomdhamini na anapotea,wanaanza kukuzungusha si RCO wala RPCSema tu TZ vyombo husika TCRA na Polisi wanaendekeza hawa watu hakuna wanachosaidia ili kuwaadabisha hawa matapili,huyu asingetuma hiyo hela au asingetapeliwa na kuleta mrejesho humu mngemjua huyu tapeli!!
wengine hawajui maana ya tahadhari na siku zote unajikwaa mara moja wakati wa kwenda ukirudi njia utakuwa unaijua. Pole sana na shukrani kwa ujumbe.Sikatai ujinga wangu mkuu...
Lakini natoa tahadhari kwa wajinga wenzangu humu jf
Dogo siwezi tapeliwa kibwege hivo aiseee, labda hela unapewa tu lakini kwa hela hii ya kuisotea bado sana.Cheka hayajakufika,siku ukitapeliwa mke ndiyo utajua
Kiongozi, mimi sipingi kwamba matapeli wapo. Lakini si vyema mtu akiweka tu tangazo lake la biashara anaambiwa tapeli bila kuwa na grounds zozote za kuthibitisha, huko ni kuharibiana biashara. Watu wanahangaika sana na maisha, sasa mtu anapohangaika kupata chochote then wewe una muharibia haipendezi mkuu. Ukisema sema tapeli eleza kwanini ili mwenye macho na aoneBABA TUPAC njoo ujifunze. Watu wamepigwa sana Jf kwa styles mbalimbali
Mkuu....Ni vema huyo Dr ndere akaja hapa ili kutolea ufafanuz juu ya hili mana upande mmoja tumeusikia bado yeye ili Tuwe na iman na matangazo yake ya biashara na Kama hatakuja kufafanua juu ya hili basi ye ni tapeli kweli
[emoji28] [emoji28] [emoji28] tena hiyo 17 ni ya usafiri wa kusafirishia kuku wamfikieKuku 100 kwa elfu 17, nani nitapeli wa mwenzie hao?
Mkuu, sisi wengine tulipewa imani sana ndiomaana nimeleta tahadhari hukuMbona mtu kama huyu rahisi sana kumpata, aisee mie siangalii udogo wa hela namtafuta nampata japo nimuache na kilema cha mguu au jicho moja! Yaani atapeli wengine sio sie 'vyuma vilivyokaza'
Ndiomaana nikaamua kuweka na ushahidi mkuuSema tu TZ vyombo husika TCRA na Polisi wanaendekeza hawa watu hakuna wanachosaidia ili kuwaadabisha hawa matapili,huyu asingetuma hiyo hela au asingetapeliwa na kuleta mrejesho humu mngemjua huyu tapeli!!
Savage daah....[emoji28] [emoji28] [emoji28] tena hiyo 17 ni ya usafiri wa kusafirishia kuku wamfikie
Ahahahah acha izo mkuuDah inaonekana hata michango ya harusi haikupiti?