Mjibuni Roma Mkatoliki hili swali

Mjibuni Roma Mkatoliki hili swali

Mwanzoni mwa wimbo wake msanii Roma Mkatoliki ameanza kwa kuwauliza:

"MBONA HAMKUMSAPOTI MANGE? NA NINYI MTAKUWA WANAFIKI!!"

Nilitegemea jamaa zangu mumjibu kaka yenu, mmeuchuna tu.

Au amesema ukweli nyie ni wanafiki??

Maana nawaona kila kitu mnapinga anachofanya Rais Magufuli. Mara ndege sio shida yenu (lakini mnapanda), Mara demokrasia inaminywa, Mara mpo tayari kuingia mitaani kuandamana.

ROMA KAWAULIZENI MBONA HAMKUMSAPOTI MANGE KIMAMBI??

AU NYIE NI WANAFIKI KWELI???

View attachment 1268394
Ndio mange huyu,mbona kama kakinyago
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom