TheSeer
JF-Expert Member
- Oct 18, 2025
- 479
- 1,115
Itakuwa hivyo mkuu, kwani ulishawai fikiri nchi itakuja endeshwa kisela namna hii ? Watu wanatekwa hovyo hovyo mchana kweupeee, watu wanauliwa kiholela na ajabu ajabu ?Natamani sana iwe hivi ila nasita but ikitokea nadhan nitakua na furaha sanA