Poleeeeeh dozen alishawahi kutoka na jasiri had zama akajua ila ilkua
tyuuh, then ruge akawa na boe (msanii fulan), ndo dozen akawa na majizzo, alipo rest muhaya, majay akaamua kuvuta chuma mjengoni
Dunia tamuuh, na mji mzito huu. Poleeeeh
usikute kale kambilikimo ndiko kanabanuliwa na huyo shoga, wanaume wa Dar jamani hawana staha hata kidogo. Aliskika jana pale msibani akinena kuwa Ruge ni baba yake na hakuwa na bifu naye.