Huwezi kuelewa pasipo kuwa makini, na suala hili n illegal hapa kwetu ndo maan hakna anae amini, ila km kna delicious James wanajionesha wazi ndo mnaamini,
Ila hili suala lipo San tena saiv limeshamiri haswaaa, mashulen, vyuon, makazini, viongozi wa selikali ndo usiseme.
Wabong kwa story za kutunga hamuambo,
Kisa jamaa amewek maish yke private et mnamwita punga ,dozen ako na mke mdada flan hv hp dsm,
Dozen n jamaa flan mkimya Hana mamb y kiboy kama hayo ,
ingekuwa kweli mbna ingeshajulikana kitambo,sabab hay mamb hayana Siri ,
Upand wa mtonyo pesa y kutosha (born 2shine since day 1)
Poleeeeeh dozen alishawahi kutoka na jasiri had zama akajua ila ilkua
tyuuh, then ruge akawa na boe (msanii fulan), ndo dozen akawa na majizzo, alipo rest muhaya, majay akaamua kuvuta chuma mjengoni
Dunia tamuuh, na mji mzito huu. Poleeeeh