mzawahalisi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2010
- 752
- 238
mwisho wa wiki hii nitakuwa mjini kwenu nataka mnijulishe viwanja muhimu Moro kuvitembelea kufurahia hizi siku chache tulizo pewa hapa Duniani, wenyeji nipeni majina ya viwanja. Msijeniambia niende kwenye ile Hotel aliyokwapuliwa Muheshimiwa itaboa.
Vile Vile kampani ya binti mwenye Staha inakaribishwa mmm.
Vile Vile kampani ya binti mwenye Staha inakaribishwa mmm.