Mjengo wa ajabu wa Sugu Mbeya!

Mjengo wa ajabu wa Sugu Mbeya!

huyu kweli kamanda...rangi za giza kama nyumba za wanajeshi lugalo!
 
Hahaaaaaa teh teh teh Hahaaaaaa teh teh teh Hahaaaaaa teh teh teh Bongo bana mhhhhhh siasa ulaji tuuuuuu. mtaacha kutoana roho kwa mtaji huu. ile kubebwa juu juu bungeni unafikiri mchezo? kangekuwa kamshahara ka laki tatu usingeona yote hayo. wao wanalipwa over Tsh 15 mil kwa mwezi halafu wanakuambia kwenye mikutano yenu huko tunataka kima cha chini laki tatu na nusu,wapi kwa wapi Tz politic business ndio faida zake hizo. wewe ishia viroba na makofi pppppp ppppppp
hueleweki!
 
big up sana kamanda,,

nyumba sio makalio kila mtu anayo,,kujenga kazi asikuambie mtu,,,,eti kuna binadamu wanaponda,,weka yako basi tuone ,,kuna wengine wanalala sebuleni kama baskeli mapaka leo alafu bado wanaleta siasa kwenye nyumba ya kamanda.
 
ajabu? subiri washike nchi utauona wa ajabu
 
Hongera Sugu... jamani kujenga nyumba inayoeleweka kazi. Mtaishia hii ya kawaida, oo sijui nani ana hekalu, wakati huo upo kibanda cha uani w nyumba iliyojengwa mwaka 70. Ukitaka kujua ni heka heka anza kujenga...
 
Anakaa kibanda cha uani basi hata kwenye internet pia haoni mijengo ya ajabu????!!!
 
dada hata kama yeye hana kwa kweli hii nyumba sio ya kuwekewa thread! !!!!!!!
Tena mjengo wa ajabu!!!!!!!

Heading najua kubwaaa ka za shigongo vilee.maana hata mie nilijua ntakutana na kitu hikooo........

lakin mi nampa pongezi tu maana hata kiwanja similiki......
 
nyumbayamamarwakatare.jpg

na hii imekaaje...
 
aiseee babayangu nyumba ya kamanda wetu sugu ni yakawaida embu angalia yumba ya iddi azani pale fundikila ile ni ekalu kabisa

Halafu we sembuse umepaanga..eti ya kawaida.......masikin wengi wangejenga basi
 
Hongera Sugu... jamani kujenga nyumba inayoeleweka kazi. Mtaishia hii ya kawaida, oo sijui nani ana hekalu, wakati huo upo kibanda cha uani w nyumba iliyojengwa mwaka 70. Ukitaka kujua ni heka heka anza kujenga...

Kwahiyo unataka na mnazi mwingine akija hapa na kusema ona mchuma babu kubwa na wa kutisha wa John Mnyika halafu ikwekwa picha kivitz chake watu unataka wagonge like?

Hivi Wahindi mbona hawana nyumba na hamuwakebehi kwamba hawajajenga?
 
Chenji ya soko la mwanjelwa inafanya kazi!!!! au mshahara!!!!
 
Back
Top Bottom