Chifunanga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 290
- 102
Du, kumbe kuna watu humu nchini mpo mpo tuu kama hampo?. Yaani Chifu mzima usipajue pale?!Hivi wadau, ule mjengo uliopo opposite na St. Peters (nyuma ya DSTV) ni wa nini?
Kila siku asubuhi nikiwa naenda kazini napita pale, ila mpaka leo sijui ni mjengo wa nini/nani. Maana sichelewi kusikia umechakachuliwa na watanzania tuanze kulipa kama tunavyokaribia kuilipa DOWANS
Du, kumbe kuna watu humu nchini mpo mpo tuu kama hampo?. Yaani Chifu mzima usipajue pale?!
Ile ndio ofisi kuu ya mambo yote, ndipo ofisini kwa mkuu RO, au nae humjui?. ni Makao makuu ya TISS au nayo huijui?.

Mkuu pasco jamaa yupo kazini
we siku zote anapita kuanzia msingi mpka watu wameamia anakuja kuuliza humu JF?
dah, asante kaka, samahani kwa kuuliza.
ila ninaswali lingine.....hivi naweza kuingia mpaka reception au ni illegal kuweka mguu pale?
dah, asante kaka, samahani kwa kuuliza.
ila ninaswali lingine.....hivi naweza kuingia mpaka reception au ni illegal kuweka mguu pale?
Umepatia, tena wakati ule jengo lilikuwa limezungukwa na michongoma mirefu. Wakati wa Mwalimu tulijua hapo ilikuwa ni ofisi ya manjagu.long time nikitoka magomeni kwenda obay kuogelea tulikamatwa hapo na cid wa nyerere that time since then mie najua ni usalam wa taifa
long time nikitoka magomeni kwenda obay kuogelea tulikamatwa hapo na cid wa nyerere that time since then mie najua ni usalam wa taifa
Hivi wadau, ule mjengo uliopo opposite na St. Peters (nyuma ya DSTV) ni wa nini?
Kila siku asubuhi nikiwa naenda kazini napita pale,
kweli jamani mi sijawahi kwenda mitaa hiyo.
Usituchezee akili!....
Njia ya kuingilia imefungwa lakini magari yanaingia siwaelewi.