mjane hana haki ya kupendwa tena?

mjane hana haki ya kupendwa tena?

chimwemwe2

New Member
Joined
Jul 19, 2012
Posts
4
Reaction score
0
Hi to all, napenda kuchukua nafasi hii kwenu kuomba ushauri juu ya sula la wanawake pindi wanapo ondokewe na waume zao mbona jamii inaangalia kwa mtazamo tofauti sana, tofauti na wanaume wanapofiwa na wake zao? Pili ni muda gani unafaa kwa mwanamke aliyefiwa na mume kuweza kuingia tena kwenye mahusiano na mwanaume mwingine?
 
Bado hujaeleweka mkuu. Una maana gani unaposema mtazamo tofauti?
 
Atampataje kama akileta kilio chake mfano hapa JF mnamzodoa na kumcheka?

Kwani tunaaccess ya inbox yake? Kuzodoana ni kupima userious na kifua cha mtu; kwani anataka sympathy au mtu atakayempenda? Kwani ujane ni ulemavu?
 
Unaweza kutupatia ushahidi wa mtu au watu wanaozodoa wajane na kuwacheka?

Na ni nani anaweza kufanya kitu cha namna hiyo wakati kila mtu ni mjane mtarajiwa??

Babu DC!!
 
That is our Wise Babu DC!

Babu kafanyaje tena Kaunga?

Unajua, watu wanataka kulinganisha mwanamke na mwanamume katika mambo ambayo hayawezi kulinganishwa kutokana na facts za kisayansi na kijamii.....

Wanavyoona wanaume wajane wanapata wanawake single kirahisi, wanadhani hata wanawake wajane wangeweza kupata mtelemko wa namna hiyo...!!

Bahati mbaya wanasahau kuwa hivyo ni vitabu viwili tofauti ingawa mtunzi ni mmoja!!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
ilo lipo kwenye mtazamo wa mtu mwenyewe(mjane), wengine hawapendi wengine mbona wanaolewa tena
 
Unajua Dark City, mwanamume umri ukienda anaweza bado kuoa binti ambaye anamzidi 20yrs, lkn mwanamke akiwa hata na mwanaume wanayepishana 7 yrs (she has to be rich ili kumpata huyo kaka), jamii inamuangalia kwa macho mawili. Na mbaya zaidi wazee wenzake (wanaume) go for younger girls hivyo huishia au kuokoka (kumpenda Yesu) au kuiba waume za watu au kutafuta viserengeti boys!

Mimi nafikiri jamii iwaruhusu wabibi nao wamiliki viSBs na ukizingatia vijana wa sasa hivi wanapenda mteremko, au unaonaje Babu DC?
 
Kama watafuata huu ushauri basi watasubiri sana..
Ukitegemea jamii ikuruhusu itakula kwako aisee..
Better to decide on your own..
 
Nakubaliana na wewe 100% SnowBall, katika ulimwengu huu bora kustick kwenye unachokiamini, kwanza hata hiyo jamii yenyewe ni heterogenous.
 
Unaweza kutupatia ushahidi wa mtu au watu wanaozodoa wajane na kuwacheka?

Na ni nani anaweza kufanya kitu cha namna hiyo wakati kila mtu ni mjane mtarajiwa??

Babu DC!!

Soma thread yangu moja ya mchumba anatakiwa
 
Kwani tunaaccess ya inbox yake? Kuzodoana ni kupima userious na kifua cha mtu; kwani anataka sympathy au mtu atakayempenda? Kwani ujane ni ulemavu?

Inategemea mtazamo wa mtu na mtu
 
Back
Top Bottom