casanova69
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 2,408
- 2,264
Ujumbe wa kutisha,Utamfanya nini?Kweli binadamu tunatofautiana mimi mwanaume muaminifu na mpole ndo huwa namheshimu sana tena huwa naogopa hata kumuudhi
Ila mwanaume mzinzi na mbabe ndo hatakaa aipate heshima yangu hata siku moja tena akithubutu kunyanyua mkono wake kunipiga tu kitu nitamfanya hatakuja kusahau hadi anaingia kaburini
Upo tayari kuja kuishi pamoja na baharia 😁😁😁???bado
Nikiangalia zamani na sasa naona utouti mkubwa kwa wanaume na wanawake.
Tofauti na zamani wanaume wengi wa sasa nikienda hospitali au klinic wapo clinic wenyewe wake zao na watoto au wao na watoto, ukitembea pia barabarani au mtaani unaona pia wanaume na watoto wao wamewabeba.
Naona kabsa utandawazi umefanya wanaume wengi kujali wake zao kwa kuwasaidia kazi mbalimbali za kulea na za nyumbani kama kufua, kupika, kuosha vyombo hata kuogesha watoto lakini ukweli ambao ninao wanaume wengi wanaoishi kwa kujali familia zao ndio zinaongoza kwa migogoro na break up.
Sasa hapa ttzo lipo wapi kwa wanaume, wanawake wanapenda Mwanaume wa namna gani.
Nikiangalia familia ambazo wanaume ndio final say ndio zinaongoza kwa kudumu sana.
Shida ni kuwa haya maisha hutakaa umpate mtu wa namna hio bali utakutana na akina Adolph Hitler tu😂😂😂 na itabidi ukubaliane na hali maana mwanaume wa design hio huwa hana hela na wewe unapenda awe na hela akupe.Kweli binadamu tunatofautiana mimi mwanaume muaminifu na mpole ndo huwa namheshimu sana tena huwa naogopa hata kumuudhi
Ila mwanaume mzinzi na mbabe ndo hatakaa aipate heshima yangu hata siku moja tena akithubutu kunyanyua mkono wake kunipiga tu kitu nitamfanya hatakuja kusahau hadi anaingia kaburini
Man still a man.... huwezi kushindana na mwanaume, hata Mungu alianza kumuumba mwanaume kwanza.Kweli binadamu tunatofautiana mimi mwanaume muaminifu na mpole ndo huwa namheshimu sana tena huwa naogopa hata kumuudhi
Ila mwanaume mzinzi na mbabe ndo hatakaa aipate heshima yangu hata siku moja tena akithubutu kunyanyua mkono wake kunipiga tu kitu nitamfanya hatakuja kusahau hadi anaingia kaburini
NOOO, all those trace them their weakness was love, mothrfuckin LOVE... a man fallen in love is very weak.. ndo mana tunakwambia always MARRY A WOMAN WHO LOVES NOT WHO YOU LOVE.Ha ha ha ha not really! I haven't seen those arguments.
Yes it's undeniable fact that men are stronger or less weak than women but only Physically.. Remember weakness determined by physical and Mental.
We women we are physically weak compared to men but mentally we are so so strong and here women put men to shame!!.
Y'all don't like confident women, educated women and rich women because as per natural we are mentally good mnahisi vipi kama tukiadd these artificial attributes like education, money, beauty and confidence ...you are 100% sure that you will be defeated by technical knock out (TKO)!!![emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Refer Adam in Eden and Samson etc, you will know how much you are mentally weak and you can't help it. Na hamtaweza kuacha kuwa insecure while we are around!
Nimefuta quotes zangu zote hapo juu mama
Nisamehe
Hi comment imeniburudisha ghafla na utadumu ndoani.
Najua mwenyewe!Ujumbe wa kutisha,Utamfanya nini?
Ah wapi mimi nimeshasema pesa kwangu siyo kipaumbele maana hata mimi natafuta ila jianaume lizinzi na libabe nitalifanyia kitu kibaya halafu naliacha na pesa zake ila mwanaume muaminifu na mpole kutoka moyoni basi hata mimi sitaona shida kumhudumiaShida ni kuwa haya maisha hutakaa umpate mtu wa namna hio bali utakutana na akina Adolph Hitler tu[emoji23][emoji23][emoji23] na itabidi ukubaliane na hali maana mwanaume wa design hio huwa hana hela na wewe unapenda awe na hela akupe.
Hamtadumu mtaachana tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Oohh ndo uwaulize wanaume wenzio wanaonyooshwa na wanawake sasaMan still a man.... huwezi kushindana na mwanaume, hata Mungu alianza kumuumba mwanaume kwanza.
NOOO, all those trace them their weakness was love, mothrfuckin LOVE... a man fallen in love is very weak.. ndo mana tunakwambia always MARRY A WOMAN WHO LOVES NOT WHO YOU LOVE.
ukiae ukijua kuna wafadhili wanaomfadhili mkeo ku overthrow huo udikiteta kwaiyo inatakiwa ujipange.Sometimes udiktekta unasaidia sana kuiweka kwenye msawazo familia.
Nilikuwa naishi kwa mfumo wa demokrasia nyumbani kwangu ila nikaona wife anataka kuwa juu Yangu. Nikabadilika nikaanzisha mfumo wa Jiwe .Dah life is easy now.
that also implies that a man without a woman is the strongest.And that is a concrete evidence that men are only physically stronger than women but women are emotionally stronger than men
And remember even the scriptures say that a man should love his wife and a woman should respect her husband and not otherwise
Oooh. You are something else LizarazuWomen are mentally inefficient compared to men~Esther villar(your fellow woman).
It has been manifested throughout the centuries women are both physically and mentally weaker than men. You merely beat us in emotional games!
To demystify this statement that we men are mentally/intellectually more powerful than you women lets put consideration into these few facts below.
1.About 98% of technological advancements of this world have been contributed by Men.
2.Almost every feminine entity you use in your daily basis has been invented by man(pad,contraceptive [emoji381],wigs etc) and we are yet to see anything invented by woman for sole benefits of men.
3.About 85% of all the monies in this world are earned by men only to be spent by women. This clearly shows that women depend on men for survival as the fact tells us money is in the hands of men but squandered by women.
After all that to have been said, now lets get down to see how you beat us in your emotional game!
Your decision making is always based on temporary/present feelings and not what’s fact concerning to the matter. So making of decision for you is processing of feelings that please your mind rather than facts where the real solution is inclined. And that’s the reason why you women love lies because lies always is sweat and it please your mind easily.
As for men it’s plausible we are logical driven decision makers! we look at matter how it is and we choose appropriate solution regardless it make us feel better or not. We may be emotional sometimes but we don’t allow emotions to fully occupy our minds.
While you are emotional thinker and you take everything in emotional way that make you mysterious... we men are logical and we take everything in logical manner that’s why we often find ourselves in difficult moment to deal with you coz we employ logic where it rarely works.
We try to use logic in dealing with your mysteriousness and we end up being disappointed coz logic is always overthrown by emotions! That’s why you won’t stop to hear us chanting wanawake haweleweki.
While logic is about rationality,consistency,fairness,reference and common sense, emotion is about how the particular situation can make you feel better at the moment regardless of whether there is fairness,reference and common sense. And here is the reason why you sometimes make a decision and only come to regret about it later, the reason you disagree with my opinion now but you agree with it tomorrow!
No matter how educated/rich/exposured a woman is, she will always view things through emotional lens before she makes decisions! That’s why they always fail in things that need more logic like politics,business etc!
We men always fail in relationship especially with educated ladies coz we apply logic and expect them to do the same on various issues, we forget that they primarily think through their feelings before they put it in education-wise.
We don’t fear rich or highly educated women we just fear their irrationality, it’s very dangerous when they have a power. Adam and Samson were defeated in emotional arena.
[emoji23][emoji23][emoji23] huyu jamaa ni mbishi dooh.Yaani umetoa maelezo mengi ila mwisho wa siku umerudi pale pale kuwa men are physically stronger than women but women are emotionally stronger than men mifano ipo mingi sana na tunapoongelea emotions hatumaanishi eti hizo technological inventions sijui nini no tunamaanisha how to handle things in daily life
Mfano wanaume mkiachwa hamna uwezo wa kuvumilia ila wanawake tukiachwa tuna uwezo wa kuvumilia na vile vile wanaume mkicheat wanawake tuna uwezo wa kuvumilia ila wanawake tukicheat wanaume hamna uwezo wa kuvumilia tukija kwenye hiyo mifano ya Adam na Samson sidhani kama kuna ubishi tena hapo kwamba women can manipulate men just through emotions
Huo mfano wa Esther nao pia ni mzuri imagine ndani ya dakika chache tu kupitia maneno yake bila hata ushahidi wowote aliweza kubadilisha urafiki wa mume wake mfalme Ahasuero na muuaji Hamani na kuwa uadui na mfalme kutoa maamuzi magumu pale pale ya Hamani kunyongwa hadi kufa na ndicho kilichotokea kibongobongo tungesema mwanamke kampa limbwata mume wake
Ila ile ilikuwa ni emotional manipulation mwanamke akitaka kumdhuru mwanaume mara nyingi huwa hafanyi yeye kama yeye bali huwa anamtumia mwanaume mwenzie ili hilo jambo lifanyike na mwisho kabisa naomba nikuulize hili swali je ni kwanini kwenye ukomando kunakohitajika nguvu nyingi wanaotumika sana ni wanaume ila kwenye ujasusi kunakohitajika akili nyingi wanaotumika sana ni wanawake?
Hahahahahaha, men they are mentally weak IN EVERY ASPECT compared to us! No excuses.NOOO, all those trace them their weakness was love, mothrfuckin LOVE... a man fallen in love is very weak.. ndo mana tunakwambia always MARRY A WOMAN WHO LOVES NOT WHO YOU LOVE.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]Kama nakuonaaSometimes udiktekta unasaidia sana kuiweka kwenye msawazo familia.
Nilikuwa naishi kwa mfumo wa demokrasia nyumbani kwangu ila nikaona wife anataka kuwa juu Yangu. Nikabadilika nikaanzisha mfumo wa Jiwe .Dah life is easy now.
Baharia sijui ni mtu wa aina gani labda jidifine kwanzaUpo tayari kuja kuishi pamoja na baharia 😁😁😁???