Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

mkuu kama chanzo kimojawapo ni matumizi ya dawa za uzazi wa mpango , ina maana hawezi kupata mimba?

ahsante sana mkuu

Mkuu mimba atapata ila itachukua mda kwa maana mrija wa uzazi unakuwa umepindapinda kwahiyo mbegu zako hazifiki kunakohitajika,wanafia njiani.kama uko serious ni pm mkuu.
 
sawa mkuu nitakuPm
ahsante sana kwa msaada wako!
 
Dah sasa hapo itakua shida mkuu ngoja atakae fanikiwa kujua kwa kimombo tutachangia au pengine ungesema shida yake ilomfanya muende Hosp ilikua ni nn
 
Kama daktari, sikushauri sana kuanza kusaka tiba za kienyeji (siko bias nazo ni mtazamo). Tatizo lako ni PID - Pelvic Inflammatory Disease. Linatibika hospital. Kama uko dar, karibu. Ni hosp ya serikali utafanyiwa vipimo na kupewa dawa.
 
mkuu kwa elim ndogo niliyopata chango ni ugonjwa unaoathiri mfumo wa uzazi wa mwanamke
dalili zake ni maumivu makali chini ya kitovu hasa anapokaribia siku zake
pia siku zake anazipata bila mpangilio, yaani anajikuta yuko bleed bila utaratibu maalum kama ilivyo kwa wanawake wengine!
Kama kuna swali jingine,tafadhari niulize mkuu!
 
mkuu hospital gani ?
Tumeamgaika hospitali nyingi lakin hatujafanikiwa
 
mkuu kwa elim ndogo niliyopata chango ni ugonjwa unaoathiri mfumo wa uzazi wa mwanamke
dalili zake ni maumivu makali chini ya kitovu hasa anapokaribia siku zake
pia siku zake anazipata bila mpangilio, yaani anajikuta yuko bleed bila utaratibu maalum kama ilivyo kwa wanawake wengine!
Kama kuna swali jingine,tafadhari niulize mkuu!

Okay mpk hapo nahisi ana uterine fibroid. Amepiga ultra sound ya uzazi?
 
Tafuta hela uende hospitali ya Apolo India ndo kuna tiba nzuri sana.
Kule ndo kuna madaktali, hapa kwetu kuna wajukuu wa madaktari tu-hawana uwezo wa kutibu kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom