kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,419
- 1,981
jamani nimekuwa nikifuatilia kikao cha bunge kinachoondelea jioni hii cha kupitisha muswada wa sheria mbalimbali. nilichokigundua ni kukomoana baina ya wabunge wa vyama viwili kana kwamba hakuna vyama vingine. Mapendekezo yamekuwa yakitolewa kuhusiana na vifungu mbalimbali vya sheria either kurekebishwa au kupitishwa kama vilivyo, sasa nichakiona hapo ni kukomoana baina ya wabunge wa vyama hivi viwili (CCM + CDM) hata kama ni marekebisho yanayoonyesha kuwagusa wengi bado ile kanuni ya kupitisha kitu kwa kutumia kura ya ndio au hapana inaonyesha ni jinsi gani wabunge hawa wanapiga kura hizo kwa kuangalia hoja imetolewa na mbunge wa upande gani hata kama inamashiko...!!!!
NAOMBA KUWASILISHA...!!!!!!
NAOMBA KUWASILISHA...!!!!!!