Ingawa sielewi statement ya kwanza,ya pili ume nena ukweli kabisa
chadema has the cream of this national while ccm has the ukoko. Mtanisaidia ukoko unaitwaje kwa kizungu!
Chadema gogogoooooooooooo
Lisu keep it up, you have won our hearts!
nasikia obama atakuja Tz sasa cjui anakuja Wekeza nini,mana Barick mining Bush anahisa pale,ndo mana haki kupatikana ni ngumu.
Leo Mh. Mbowe ameonyesha njia kwa kuwachapa viongozi wetu bakora kumi alizozituo wakati wa kuchangia mjadala wa bajeti ya fedha na uchumi ya mwaka 2011/2012. bakora hizo alizito kwa nyakati tofauti akiwa anachangia hoja hiyo.
1. waache kusafiria ndege business/first class at USD 5000 badala yake wasfirie economy class ya USD 1200 wanaotumia donors. mbona wengi wao akistaafu hawapandi tena fisrt class na wengine hata ndege hawapandi tena.
2. waache kutembelea mashangingi wakati wagonjwa wanapelekewa ambulance za bajaji
3. waache kukimbizana na semina kama zinazoanadliwa za kuhusu chanzo cha ukimwi ili wapate posho badala yake wakae ofisini na kama kuna kiongozi mpaka leo hafahamu chanzo cha ukimwi basi aachie ngazi.
4. kama kweli viongozi wanastahili maisha wanayoishi sashivi mbona wakistaafu hawawezi kununua magari mapya sanasana wananunua Rav 4 au Mark II.
5. magari yote yakifahari yauzwe na wahusika wapewe mikopo ya magari wanunue ya kwao.
6. posho zinafaidisha viongozi wa ngazi ya maamuzi tu na sio waalimu, polisi au nesi.
7. tuache uchama tueke maslahi ya taifa mbele kwa maslahi ya wanachi wa tanzania.
8. hotuba ya mbowe ilifanya mawaziri waliokuwa bungeni kuangalia chini na kuonyesha sura za huzuni.
9. posho inasababisha kiwe ni chanzo cha watumishi kuhudhuria vikao muhimu na kama haipo hakuna mahudhurio.
10. mbowe alipokuwa anchangia ni kwa mara ya kwanza wabunge wote walikaa kimya na kusikiliza kwa umakini wa hali ya juu.
source TBC kipindi cha kutoka bungeni.
sasa kuna haja gani ya kuwakopesha mawaziri kupitia mkopo wa bunge magari halafu wakipata uwaziri wanaendeshwa kifahari , damn.Ndio maana tunaita hayo ni maamuzi magumu! U loose kwa faida ya wengi . Viva Mh. MboweHapo kwenye Red, Je, Mh. Mbowe anajua kwamaba:-
- wanaondesha hayo magari, yaani madereva ndio wanaotesa nayo mtaani wakati jamaa wanajipinda kujibu makombora na wakitoka ofisini wanarudi home hooi, dereva ana mwacha anaenda kupiga misele na vimwana kitaani?
- kwamba hayo magari yakiuzwa jamaa wanakua JOBLESS automatically kwa maslahi ya Taifa? na ni wengi sawa na magari yenyewe.
- na kwamba familia za hao madereva (wengi wana wake almost kila mji hasa Dar na Dodoma) hali itakua tete hasa haki ya msingi ya kwenda toilet (no food! njaa), and believe me kuna jeshi la wategemezi wengi sana behind those guys!
- sasa hilo jeshi la madereva ambao watakua jobless ghafla kuna mikakati ya kuwsaidia? maana kweli kwa kuwakopesha wahusika hayo magari gharama ya uendeshaji itapungua ikiwemo posho na mishahaara ya madereva, wizi wa mafuta na tyres etc. issue ni wataenda wapi na familia zao? Nawasilisha.
kwa point kali kama hizo lazima watulie na waangalie chini coz hawana ujasiri wakupinga ukweli unaochomaLeo Mh. Mbowe ameonyesha njia kwa kuwachapa viongozi wetu bakora kumi alizozituo wakati wa kuchangia mjadala wa bajeti ya fedha na uchumi ya mwaka 2011/2012. bakora hizo alizito kwa nyakati tofauti akiwa anachangia hoja hiyo.