Wadau kuna mjadala mkali sana ITV jamaa mmoja kutoka MTETEZI anafagilia sana Jamii forum,mdogo wakeMnyika Michael Balali naye yupo,jamaa wanachambua hoja vizuri sana
Huyu mwanasheria anasema kama serikali ikikataa kulipa, Dowans wanaweza kukamata mali za Tz zilizipo kwenye nchi yoyote ambayo ni mwanachama wa hiyo mahakama, so probably Zitto was right on this
Hii ikoje wadau itv kuna mjadala unaendelea na mwanasheria wa mtetezi anasema tusipolipa dowans watakamata mali za tanzania duniani kama tutakataa kulipa hela za dowans
Anasema uongo: Kalipwa na RA kueneza hiyo. Hawawezi kukamata hadi mahakama ya nchi husika itoe amri. Na jee, iwapo hukumu ya ICC haitasajiliwa na High Court, bado wanaweza kukamata?
Endelea kutupasha hayo ndo tunayotaka, maana tumeanza pishana vibaga mahakamani serikali wakikazania kusajili ulipwaji na sisi kupinga ulipwaji wa dowans.
:deadhorse:
mjadala ni mkali itv wanarudia kauli za mawaziri za zamani kuhusu dowans. Wanaharakati wanachambua vizuri utapeli huu. Ni aibu kubwa kwa sirikali ya kiwete
Huyu mzee anaeongea sasa anakamua balaa wiki chache zilizopita nilimuona hapa hapa akiongelea vyanzo vya umeme na bei mpya ya umeme huyu ni mzalendo wa kweli