hapa kwetu umeme umekatika mwendo wa saa moja basi mturushie maana kilaptop changu kina charge ya masaa matatuNashukuru lakini tuombe umeme usikatike, maana siku hizi unakatika bila taarifa.TANESCO CHOKA MBAYA.
Tatizo huku kwetu TANESCO + DOWNS + SONGAs + EPTL wapo lindo!..ic umeme hakuna! na bado robo saa tu!niwakumbushe wana JF kuwa msisahau kufuatilia mdahalo wa DOWANS leo Saa tatu na Robo usiku na Itv.
atakuwepo nani..? nsije kupoteza muda wangu kusikiliza upupu
wanaweza kutuletea makamba hawa
Mzee Mkinga/Nkiga kama sikosei anaanza kummaliza EL...
mkinga nauona ndani
Ngeleja alialikwa lakini ametumia udhuru wa safari China.Wangewaalika wafuatao:
1. Sitta
2. Rostam
3. Werema
4. Mwakyembe
5. Ngeleja
6. Mwanasheria wa Tanesco
7. Karamagi
Dogo - Do not cross the line - unifahamu sikufahamu! Kama unataka kutiwa vidole I'm not of that type - Stupid boy!
Nipo naangalia hapa; kungekuwa na simu ya kupiga na mimi ningetoa maoni yangu.