Mjadala wa Bashite wazidi kutanuka

Mjadala wa Bashite wazidi kutanuka

wacha mahaba ya kipuuzi kwani tukikuwa na watumishi mahili katika kazi za uma na wengine walibakiza miezi muchache wastaafu,ww unayemtetea kwamba hamjali elimu tunachojali ni utendaji kazi ,unataka kutuambia kazi nani hafanyi ila yy tu!yeye atoe vyeti tu ndo suluhisho!
 
Mm sjaisoma yote ila nilipoona jina la makonda kutajwa tu nikajua ndo wale wale wapiga vuvuzera....hivi ata kama vyeti sio vyake na hana elimu hiyo mchango wake hauonekani?...tumekuwa na wasomi wangapi na hawajafanya lolote kwa taifa hili....tumewapeleka bunge la katiba badala ya kujadili rasimu wakatoka nje elimu yao wameitumia vipi?....Wewe kama unaona kalamu yako inakusahidia sana kawaandikie Chadema sera za kuombea kura 2020,sio cheap reason kama hii ishu ulokuja nayo....hii nchi kuishi kwa madili muache.Hatutaki madawa full stop na tunamtaka makonda full stop.
Hamtaki na nani? Jisemee wewe eboooo!
 
Halafu wewe:::::::

Ninawaza kama wewe, ila sioni jukwaa huru kupata majibu ya maswali yote haya uliyouliza.

Marehemu Mtikila angekuwepo nadhani angeshafungua shauri mahakama imlazimishe Paul ahakikiki vyeti vyake kuleta utulivu nchini. Tafadhali ajitokeze msamaria mwema (wanasheria wetu) atusaidie kwenda mahakamani au sehemu inayostahili ili haki itendeke kwa mtuhumiwa na watuhumu.
wakati naanza kusoma uzi huu. niliwaza kama wewe... marehem mtikila tutamkumbuka sana...
 
Hawa jamaa washenzi tu, walimharibia future Lowasa kwa kumwita fisadi kumbe uongo tu.

Wapo kama wachawi wa mkuranga raha yao ni kuona mtu anaharibikiwa wala hakuna wanachofaidika. Hebu msitupotezee muda wakufanya mambo ya maana.
 
Nami najibu hii namba tano. Sasa kama watu wametuma na hata wanaomjua na hawaoini likifanyiwa kazi si ndio wanaamua kuingia kwenye mitandao!?
Tukumbuke hapa suala la kutaja mali za watumishi wa umma sheria ilikuwa wazi lakini ikaweka ugumu kwa mtu mwenye nia njema kuona fomu husika ili aisaidie serikali kwa wale waliodanganya.
Badala ya watu kupoteza MB zao na wino kuandika haya yote ni kwa nini mhusika (bahati nzuri ni member hapa) asiweke vyeti hadharani mjadala ukaisha!? Kumbuka huyu ni mtumishi wa umma kwa hiyo kutaja belongings zake hadharani ni lazima. Kwani Mzee Mkapa, JK na wasaidizi wao mbona walitutajia hadi kuku wanaowamiliki ...ni kwa sababu walitaka wakalie ofisi za umma kwa amani.
Tunalo tatizo katika kushughulikia masuala kadhaa katika nchi yetu. Tume ya maadili kwa viongozi inawataka waorodheshe mali, madeni n.k na pia vyanzo vya mali waliyonayo. Sina uhakika kama kuna ufuatiliaji wa ukweli wa majibu yanayotolewa na viongozi wanaopaswa kuorodhesha mali zao. Uhakika nilio nao ni kwamba kama atatokea mtu asiyeridhika na majibu hayo, apeleke malalamishi yake na ushahidi kwenye hiyo Tume. Baraza la Mitihani nalo linataka lipelekewe maelezo na ushahidi ili liweze kuifuatilia taarifa kuhusu mtu kutumia vyeti visivyokuwa vyake yaani vya kugushi. Naona ingekuwa vyema kwa Taasisi hizi kufanya uchunguzi walau kidogo wapatapo tetesi kuhusiana na mambo haya ya udanganyifu ili kuonyesha kwamba wako makini katika kazi zao. Kinachojitokeza sasa watu wa chini ndio husumbuliwa sana mara tu tuhuma zikizagaa kuhusu mapungufu yao. Ni vyema kukawa na haki sawa kwa kila mwananchi katika masuala kama haya. Vinginevyo tutajenga taifa lenye tabaka katika kutoa haki kwa walionacho na wale wasiokuwa na chochote.
 
kundi la maswali yako ya mwanzo likijibiwa, kundi la maswali yako la pili litakuwa limesaidiwa kujibiwa na hatua stahiki zitakazochukuliwa
 
1. Hapo hapo said:
Labda nijaribu kukujibu kutokana na uelewa wangu hasa baada ya kufuatilia nyuzi nyingi kuhusu ndg Bashite

Swala hapa sio kuwa watu walikuwa wapi kabla

Kuna kamsemo kanasema "anything happens for a reason" baada ya bashite kutoa kauli zisizotekelezeka, approach anazotumia kutatua changamoto za mkoa, mambo anayoyafanya ambayo baadhi ya watu hawapendezwi nayo ndio ILIYOKUWA CHACHU NA SHAUKU YA KUMJUA MTU HUYU AMBAYE MUELEKEO WAKE UNA WALAKINI ANA BACKGROUND GANI, NA HAYO NDIO BAADHI YA YALIYOGUNDULIKA IKIWA NI PAMOJA NA KUJILIMBIKIZIA MALI KWA MUDA MFUPI AKIWA MADARAKANI, KUGHUSHI CHETI NA JINA, NA MENGINEYO MENGI AMBAYO NAAMINI MUDA UTAONGEA TUTAYAFAHAMU

Kwahyo tatizo sio yy kuleta ishu ya madawa, tatizo ni ule wa msemo wa too much is hamful kawa na too much statements zilizopelekea watu wamchimbe
 
Mm sjaisoma yote ila nilipoona jina la makonda kutajwa tu nikajua ndo wale wale wapiga vuvuzera....hivi ata kama vyeti sio vyake na hana elimu hiyo mchango wake hauonekani?...tumekuwa na wasomi wangapi na hawajafanya lolote kwa taifa hili....tumewapeleka bunge la katiba badala ya kujadili rasimu wakatoka nje elimu yao wameitumia vipi?....Wewe kama unaona kalamu yako inakusahidia sana kawaandikie Chadema sera za kuombea kura 2020,sio cheap reason kama hii ishu ulokuja nayo....hii nchi kuishi kwa madili muache.Hatutaki madawa full stop na tunamtaka makonda full stop.

Mimi nipo kinyume na wewe mkuu. Sababu naainisha.
1-: Kama kigezo ni utendaji wangesema mapema na wapime utendaji na sio vyeti.
2-: kama ukitenda vyema huhusiki na vyeti feki basi na wengine warudishwe makazini na wapate stahiki zao.
3-: kama vigezo sio hivyo naye awajibishwe. Ninani alikua wakwanza kuwadhalilisha na kuwakashifu watu ??!.
Jibu ni rahisi ni mkulu wa nchi hivyo awawajibishe wote

Hapo haki itakua imetendeka.
 
Kupuuzia hoja hii kama wengine wanavyoelekea kushauri hakumwongezei mtuhumiwa ujasiri wa kupambana na vita aliyoianzisha bali kunawapa nafasi hata wale waliokuwa wampe ushirikiano kutilia shaka kama wanafanya kazi na mtu mwadilifu kama akili yao ilivyokuwa ikiwaaminisha. Ikiwa kinachosemwa kina ukweli, hata kama ana nia ya dhati ya kiasi gani ya kutokomeza tabia mbaya katika jamii, anakosa uhalali wa kuisimamia vita hiyo. Sidhani kama kunyamazia bila kulitolea ufafanuzi jambo hili "rahisi" kunatoa nafuu yoyote katika kutumika kwa nafasi aliyopo.
 
Imeshasemwa humu jina la Daudi Bashite mwisho chalinze mjini ni kondkta tu.
 
Nautabiria mjadala huu kuwa mrefu mpaka 2020
 
Mm sjaisoma yote ila nilipoona jina la makonda kutajwa tu nikajua ndo wale wale wapiga vuvuzera....hivi ata kama vyeti sio vyake na hana elimu hiyo mchango wake hauonekani?...tumekuwa na wasomi wangapi na hawajafanya lolote kwa taifa hili....tumewapeleka bunge la katiba badala ya kujadili rasimu wakatoka nje elimu yao wameitumia vipi?....Wewe kama unaona kalamu yako inakusahidia sana kawaandikie Chadema sera za kuombea kura 2020,sio cheap reason kama hii ishu ulokuja nayo....hii nchi kuishi kwa madili muache.Hatutaki madawa full stop na tunamtaka makonda full stop.

Kama una hoja, basi ijikite katika kuwataka wanaotuhumu wathibitishe kama kweli Mkuu wa Mkoa alisomea cheti cha mtu mwingine baada ya yeye kufeli kidato cha nne.
Lakini hoja yako eti mchango wake unaonekana au hauonekani haiwezi KUIFUTA JINAI kama aliitenda. Ukisema hivyo, ni wengi sana ambao hawapaswi kjuadhibiwa maana wapo hadi walioghushi vyeti vya taaluma pasipo hata kuzisomea lakini ukiwakuta kazini wanapiga mzigo hasa baada ya kupata uzoefu wa miaka mingi kama 5-10). Sasa kama na hawa utawaacha, hiyo safisha safisha itawakumba akina nani?

Hao wenye sifa stahiki lakini hawafanyi kazi zao sawasawa acha waondolewe na mfumo wa upimaji wa utendaji kazi (performance appraisal). kama mfumo huo hauwezi kuwabaini na kuwawajibisha, basi hakuna sababu ya kulalamika. Ila sitakubaliana na yeyote anayetaka kuhalalisha jinai eti kwa kuwa mtenda jinai anaonyesha matunda.

Hii itakuwa sawa na kubariki wizi na ujambazi kwa kuwa tu huyu jambazi akishatoka kuwaibia watu "at gun point" anatoa misaada kwa maskini, wajane, na watoto yatima..na kuchangia ujenzi wa zahanati, shule na miradi ya maji.
 
bashite ana roho ngumu kama paka. ndio maana alikuwa na ujasiri wa kumlamba agi, ambaye ameuza sana mbunye. wasukuma washamba sana kwa wanawake aisee.
 
Kama kuroga ni ishu na ww kamloge Magu atengue kauli yake amg'oe Makonda....Makonda ni lulu kwa vijana wa sasa hasa mateja....lazima tumuunge mkono hasa sisi wenye uchungu na nguvu kazi.
So wewe ni teja?
 
Back
Top Bottom