Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,378
- 3,275
Hamna kilichofanyika mimba yenyewe kanitegezeaUlimtolea mahali??
Kuna mila pia vipi umekaa nae baada ya wazee wa pande mbili kuridhia au ni sogea tuishi.
Fuatilia sheria mkuu, huenda unakimbia kivuli chako mwenyewe.
Kwani ndoa ni cheti?? Mtaani hapo wewe unafahamika kama single au upo ndoani??



