Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,620
- 10,261
Kampeni ya kataa ndoa ina malengo yafuatayo mbadala wa ndoa unaleta vitu vifuatavyoMimi nipo kwenye ndoa na ninapambana bila kuchoka nichomoke kwenye ndoa kutokana na mambo ya ndani ya ndoa yalivyo.
Nilikuwa kimya nasoma maoni ya wanaokataa ndoa na wanaoipa chapuo ndoa.
Hoja yangu imebase kwenye mantiki zolizowekwa na sheria. Sheria ya ndoa ya Tanzania inapeleka hasara kubwa kwa wanaume na kumfaidisha sana mwanamke.
KUna vitu vingi havijakaa sawa kwenye ndoa ambavyo vinawasababisha vijana kuwa bold and clear kukataa ndoa.
- Sheria ya ndoa inamtaka mwanaume kumtunza mke wakati wote wawapo kwenye ndoa
- Sheria ya ndoa inammilikisha mwanamke mali za mwanaume za ndani ya ndoa. Hapa maana yake jasho la mwanaume linagawanywa kuwa jasho la wanandoa wote wakati wa ndoa
- Endapo wakaamua kutalikiana, mwanaume hupewa gawio lisiloakisi jasho lake na mwanamke hupata gawiwo zaidi ya jasho lake.
- Sheria ya ndoa haimpi jukumu mwanamke ndani ya ndoa bali majukumu.yote anapewa.mwanamume
Tuzungumze maboresho ya sheria ya ndoa ndipo vijana waanze kurejea ndoani.
Mie.mwenyewe nataka leo kesho.kutemana na mwanandoa mwenzangu..
Mim mtu anayepinga ndoa aseme mbadala wakeUnapinga ndoa then unapromote nini? Ushoga au unapinga ndoa na huna suluhu yake?
Kweli ndoa sio kwa kila mtu lakini usije na mabango yako hapa kupinga kusudi la Mungu, unataka tuwe na kizazi gani kisicho na wazazi wote wa kuwalea?
Soma content uje na hoja
Kushambulia mtoa hoja hakujengi
Mimi nipo kwenye ndoa na ninapambana bila kuchoka nichomoke kwenye ndoa kutokana na mambo ya ndani ya ndoa yalivyo.
Nilikuwa kimya nasoma maoni ya wanaokataa ndoa na wanaoipa chapuo ndoa.
Hoja yangu imebase kwenye mantiki zolizowekwa na sheria. Sheria ya ndoa ya Tanzania inapeleka hasara kubwa kwa wanaume na kumfaidisha sana mwanamke.
KUna vitu vingi havijakaa sawa kwenye ndoa ambavyo vinawasababisha vijana kuwa bold and clear kukataa ndoa.
- Sheria ya ndoa inamtaka mwanaume kumtunza mke wakati wote wawapo kwenye ndoa
- Sheria ya ndoa inammilikisha mwanamke mali za mwanaume za ndani ya ndoa. Hapa maana yake jasho la mwanaume linagawanywa kuwa jasho la wanandoa wote wakati wa ndoa
- Endapo wakaamua kutalikiana, mwanaume hupewa gawio lisiloakisi jasho lake na mwanamke hupata gawiwo zaidi ya jasho lake.
- Sheria ya ndoa haimpi jukumu mwanamke ndani ya ndoa bali majukumu.yote anapewa.mwanamume
Tuzungumze maboresho ya sheria ya ndoa ndipo vijana waanze kurejea ndoani.
Mie.mwenyewe nataka leo kesho.kutemana na mwanandoa mwenzangu..
Kupuyanga sio issue, ndoa muhimu.Kwanni ke wait hawakatai zaidi n me tu ndio wanakataa ndoa? Je wanawake nyie mna maoni gani? Na nyie mnakataa au mnahitaji ndoa mbona hakuna anawunga mkono?
KE hawezikataa maana ndiye anafaidika, Ndoa ni Ajira kwake, kupunguza ukali wa maishaKwanni ke wait hawakatai zaidi n me tu ndio wanakataa ndoa? Je wanawake nyie mna maoni gani? Na nyie mnakataa au mnahitaji ndoa mbona hakuna anawunga mkono?
umemjibu vema sana, wanawake wengi hukimbilia kuwatukana na kuwadhihaki wanaume wanaokataa ndoa.Bora sisi tunaokiri udhaifu ili kupelekea maboresho na mabadiliko
Pia wanakua na jeuri wanapokumbuka pia kua siku hizi wameletewa dawati la kuwatetea. Na ukijumuisha asili ya ubinafsi walionayo qmamae yani ni kichaa kapewa mashine gun sokoni.Wanawake wengi wanakuwa narcissists kwa sababu ya hiyo sheria ya kijinga.
Hawawi wazi sana wako upande gani lakini ukiwafuatilia vizuri wanataka sana ndoa wanataka kuolewaKwanni ke wait hawakatai zaidi n me tu ndio wanakataa ndoa? Je wanawake nyie mna maoni gani? Na nyie mnakataa au mnahitaji ndoa mbona hakuna anawunga mkono?
Mbadala ni kutomber na kujikataa mpaka mafeminist yote yawe masingle mother ndio yarudi kukubali asili kua mwanaume ni kichwa cha familia.Mim mtu anayepinga ndoa aseme mbadala wake
Wanaanzaje kukataa ndoa wakati wanajua wanufaika namba moja ni wao ?? Niambie ndoa inamnufaisha nini mwanaume ?! Tena haya mafeminist ukilioa tu tayari linaanza kupiga mahesabu mkiachana linapata nini na nini.Kwanni ke wait hawakatai zaidi n me tu ndio wanakataa ndoa? Je wanawake nyie mna maoni gani? Na nyie mnakataa au mnahitaji ndoa mbona hakuna anawunga mkono?
Dawati la.jinsia pia ni eneo linalomuangalia mwanaume.kama tatizo.la ndoa.Pia wanakua na jeuri wanapokumbuka pia kua siku hizi wameletewa dawati la kuwatetea. Na ukijumuisha asili ya ubinafsi walionayo qmamae yani ni kichaa kapewa mashine gun sokoni.
vijana nawashauri msioe ndoa ilikua zamani sikuizi ndoa ni jehanam kwa mwanaume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Hii kampeni ilianza utani utani, ila naona inashika kasi sasa, hata kama umeoa unaanza kuwaza faida na hasara za ndoa yako.
Pole sana mkuu Msanii kwa haya unayopitia lakini vitabu vya dini vilituasa tuishi nao kwa akili na sio akili tuu bali hekima, busara na akili kubwa sanaMimi nipo kwenye ndoa na ninapambana bila kuchoka nichomoke kwenye ndoa kutokana na mambo ya ndani ya ndoa yalivyo.
Nilikuwa kimya nasoma maoni ya wanaokataa ndoa na wanaoipa chapuo ndoa.
Hoja yangu imebase kwenye mantiki zolizowekwa na sheria. Sheria ya ndoa ya Tanzania inapeleka hasara kubwa kwa wanaume na kumfaidisha sana mwanamke.
KUna vitu vingi havijakaa sawa kwenye ndoa ambavyo vinawasababisha vijana kuwa bold and clear kukataa ndoa.
- Sheria ya ndoa inamtaka mwanaume kumtunza mke wakati wote wawapo kwenye ndoa
- Sheria ya ndoa inammilikisha mwanamke mali za mwanaume za ndani ya ndoa. Hapa maana yake jasho la mwanaume linagawanywa kuwa jasho la wanandoa wote wakati wa ndoa
- Endapo wakaamua kutalikiana, mwanaume hupewa gawio lisiloakisi jasho lake na mwanamke hupata gawiwo zaidi ya jasho lake.
- Sheria ya ndoa haimpi jukumu mwanamke ndani ya ndoa bali majukumu.yote anapewa.mwanamume
Tuzungumze maboresho ya sheria ya ndoa ndipo vijana waanze kurejea ndoani.
Mie.mwenyewe nataka leo kesho.kutemana na mwanandoa mwenzangu..
MkuuPole sana mkuu Msanii kwa haya unayopitia lakini vitabu vya dini vilituasa tuishi nao kwa akili na sio akili tuu bali hekima, busara na akili kubwa sana
Kuna mengine siwezi kuyasema hapa lakini ukishaona dalili anza kuwa na mipaka kwenye mambo ya msingi na yale ya muhimu
Ndio maana kwenye huu mjadala ni bora nijadiliane na mwanamume mwenzangu.Wanake wanaposikia vijana hawataki ndoa wanapinga ndoa, huja na kejeli na matusi eti ni mashoga utasikia upinde wa mvua., ila kimsingi vijana wana hoja.