min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 47,696
- 131,820
Kuna tofauti ya kuishi na mwanamke na kufunga ndoa apa tunachokataa ni ndoa ya mavyeti na kusaini kisheria.Hawo wote wasiotaka ndoa Kuna walioaminishwa ni mbaya, waliotendewa na wanawake wasiotulia,wengine ni Malaya, wengine ni mashoga, wengine ni wanaona hela zikatumike ni haiwezekani
...hamna sehemu rahisi kuoa kama bongo...Mimi nimejikita kwenye kuoa 'mama ntiliez'..raha sana, usiwe na wivu sana...unaweza ukajikuta kila mkoa una mke..hamna cha mkataba, pete za ndoa, sherehe, kwaito...

🥱