JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,548
- 18,412
Sioni Cha ajabu,yaani hutaoa kisa unawasiwasi mkeo atakuwa anachepuka anaenda kupigwa mgangaluma nje?Kwakweli vijana msioe, tafuta watoto ufanye mambo yako yatakupa furaha, kuoa ni kujivika mabomu makubwa sana na kujisogeza karibu na kifo, hata Wanasayansi wakubwa wenye akili timamu hawakuoa, if you want to achieve grater things tafuta mwanamke mwenye akili au usioe kabisa...
Pitapita zangu baada ya shughuli nimekaa na mwana mmoja tunapanga mipango bodaboda ikashuka imebeba mdada mida ya saa 12 jioni, nikamwambia boda akirudi anipitie...
Alivyorudi akanambia broo unajua nini? Nikamjibu sijui!!! Broo sidhani kama nitaoa nikamuuliza kwanini? akajibu unamuona huyu mdada nimeshuka nae? Nikamjibu ndio, akasema huyu binti amekuja sokoni kuemea Buhongwa hapo akapigiwa simu na hawara yake akaacha kapu la mboga kwa muuza mboga akadaka boda chap ili awahi kuchezea kongamano. Nikamuuliza amejuaje ni mke wa mtu? Akasema anamjua vizuri alafu kavaa na pete, then akamwambia boda baada ya d.k 15 atampigia amfate amchukue.....
Nikwamwambia boda wazo lako ni sahihi imagine hapo mwanamke anarudi home mkavuuu kabeba kapu la mboga kumbe katoka kuchezea "boloyang"
Kuoa ni kujivika mabomu kudadeki
Daaaa nayaogopa ataa mimi mkuuAcha woga kijana utu uzima dawa usiogope kuvaa bomu
Sio ombeya ni uhakika mwambaa hawa viumbee basii tyuWanaume punguzeni umbea.....
[emoji23][emoji23]Wakati mnajinadi kula tunda kimasihara, na nyie huku wake zenu wanakong'oliwa [emoji23][emoji23]
Wanaumeeeeee........!!!!
Hata kama sijui una miaka mingapi, ila wewe ni mtu mzima au bado ni mtoto unaepozewa uji!wewe unajua umri wangu?
Shida ni kwamba hayamuhusu kwan huyo dada ni shemeji yake mpaka kimuume hivoWanaume tunaonena huruma.
Ndo utajua kwanini uarabuni wanaume ndo wanaenda kuhemea vitu🙁Kwakweli vijana msioe, tafuta watoto ufanye mambo yako yatakupa furaha, kuoa ni kujivika mabomu makubwa sana na kujisogeza karibu na kifo, hata Wanasayansi wakubwa wenye akili timamu hawakuoa, if you want to achieve grater things tafuta mwanamke mwenye akili au usioe kabisa...
Pitapita zangu baada ya shughuli nimekaa na mwana mmoja tunapanga mipango bodaboda ikashuka imebeba mdada mida ya saa 12 jioni, nikamwambia boda akirudi anipitie...
Alivyorudi akanambia broo unajua nini? Nikamjibu sijui!!! Broo sidhani kama nitaoa nikamuuliza kwanini? akajibu unamuona huyu mdada nimeshuka nae? Nikamjibu ndio, akasema huyu binti amekuja sokoni kuemea Buhongwa hapo akapigiwa simu na hawara yake akaacha kapu la mboga kwa muuza mboga akadaka boda chap ili awahi kuchezea kongamano. Nikamuuliza amejuaje ni mke wa mtu? Akasema anamjua vizuri alafu kavaa na pete, then akamwambia boda baada ya d.k 15 atampigia amfate amchukue.....
Nikwamwambia boda wazo lako ni sahihi imagine hapo mwanamke anarudi home mkavuuu kabeba kapu la mboga kumbe katoka kuchezea "boloyang"
Kuoa ni kujivika mabomu kudadeki
Kwako kuoa mwanamke anaeliwa hovyo ndio uanaume? Kua na akiliSiku hizi wanaume ni wachache lakini wavulana ni wengi.
Hawataki taabu. Yeye mwenyewe chovya chovya halafu anatafuta bikira amuoe. Very shame
Unaweza kua unamtukana baba ako, Mimi umri wangu sio wa kuangalia movie za kikoreaHata kama sijui una miaka mingapi, ila wewe ni mtu mzima au bado ni mtoto unaepozewa uji!
Kwani wanafanywa na viumbe wenzao wa kike???Sio ombeya ni uhakika mwambaa hawa viumbee basii tyu
Acheni kuhalalisha ujinga, ukishaolewa tulia kwenye ndoa, utaachwa na kwa kipigo na makovu juuShida ni kwamba hayamuhusu kwan huyo dada ni shemeji yake mpaka kimuume hivo
Shemeji wengi wenu mmekua ni wambea sana, au kwakua siku hizi hamzaliwi na hivi vikoromeo vilivojichonga shingoni? Zamani nlikua naona wanaume hapa shingoni kikoromeo kimetokeza sasa siku hizi shingo zenu zipo kama nyoka tu full umbea maneno yanawapita tu ShemejiShemela, kwani chanii kutujumlisha wotee..!!??
Wanaume tusioe jamani wanaume tusioeSasa kwanini kujifichaficha,ndomaana nikatoa maoni kua hiyo inapendeza kama mtu anaamua kua singo madha,kuolewa halafu unagawagawa kwa kujiiba hivyo,haipendezi,matokeo yake muda mwingine vifo vinatokea.Siunaona kama wewe hapo,uke ni wako,unaugawa unavyotaka,sidhani kama umeolewa,huoni wewe ndiyo aina ya watu ninaopendelea muishi hivyo?Mfano kama jana ulikutwa na karani nyumbani peke yako,anatoa na oda ya kuja kulala kabisa,sidhani kama kuna madhara,maana unakua peke yako,kuliko uko ndoani,unajifichaficha kua hugawi,akijua mumeo, reaction yake,hatuwezi kumpangia,tena umwambie kua nagawa,kwasababu ni yangu,atapata hasira.
Shemeji hebu kunywa mirinda usubiri kuhesabiwa, hizi ngonjera hazina ishu.....hao wanawake wanatiwa na kina nani kwani???Tulieni kwenye ndoa la sivyo kipondo kitawakuta tu! Sasa madam kuna mantiki gani umekubali kuolewa then unakua na affairs na mtu mwingine? Mfano Ukiolewa na mkapata watoto then mkafumaniana mkaachana watoto watakua wakijua maza aliachwa sababu ya kucheat.
Heshimuni ndoa