Nikuhakikishie jambo moja, ukija kuishi na single mother utakuja kupata sababu za kwa nini aliachana na mzazi mwenzie!Uhakika mkuu nasikia ukimuoa hawezi kukuacha na atajitahidi kujiepusha na makosa maana mara nyingi single mothers huwa wanajiona hawastqhili kwahiyo atqjitahidi kujishusha kwako
😅🤣😂😊😆🤪😃😁Lete Maneno....Nikuhakikishie jambo moja, ukija kuishi na single mother utakuja kupata sababu za kwa nini aliachana na mzazi mwenzie!
Mkuu vijana wanapelekeshwa na hisia na akili wanaacha getini.Hawawezi kukuelewa. Mtuhumiwa na marehemu walikua wanaonekana wanapendana sana Fesibuku.
Hawa ndoa ilikua back then wako na 30s mwanamke 20s. Walikua inaonekana wanaendeshwa na moyo na hawajajipata.Mkuu vijana wanapelekeshwa na hisia na akili wanaacha getini.
📌Nawaza mpaka wanatafuta mtoto wa nne huyo dogo wa mwisho.Huyu ndugu yetu katika jinsia alikuwa haoni red flags🚩🚩.
Mtoto wa kwanza fresh mwanamke anakuigizia kuanzia mtoto wa pili mpaka wa nne yeye anatwanga mwichi tu haoni kuwa alikuwa chaka😄😄😄
Bora nile hela yangu na watoto wa chuo na mishangazi. Mambo ya kugawana majengo ya serikali mimi sitaki.Akili zangu nazijua mwenyewe, siwezi vumilia ujingaujinga.Hawa ndoa ilikua back then wako na 30s mwanamke 20s. Walikua inaonekana wanaendeshwa na moyo na hawajajipata.
Sasa wamejipata, ndio hivo. Mali ndio wanaona zina thamani.
Utakuja sikia not guilty for reason of insanity.
Wewe mwenyewe bado mtoto unahitaji kulelewa ndoa utaiwezea wapi!Ndoa ni usumbufu tele haina faida mda wowote unaachwa single. saiv mm nina watoto wawil na sijaoa na wala siwezi oa.mama yangu ananilelea watoto.watoto ndiyo wenye faida mke hana faida kabisa.
Acha utoto, wewe kama huoni faida ya mama yako shauri yako.Mm natafuta demu akinizalia tu nachukua watoto wangu sina faida naye tena.