Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

baada ya safari zenye ubize mwingi wa hapa na pale, jana Nika rejea rasmi nyumbani na nilicho kigundua kataa ndoa ni punje ya uhalisia wa maisha yetu.

Japo mimi ni katibu mwenezi wa kataa ndoa, ila niseme ukweli maisha ya useja sio kabisa.

Sawa tuna hustle ili tuishi na tupate utulivu wa nafsi na mwili, ila utulivu una kuja vipi ikiwa watoto wengi wa nje ya ndoa, tena kwa wanawake tofauti tofauti?

All in all ndio barua ina elekea huko, kataa ndoa 2025 iwe kwa manufaa na akili yako mwenyewe.
FB_IMG_17431041931106723.jpg
 
View attachment 3309194
📌
Za kuambiwa changanya na zako.
Ukikomaa na #Kataa Ndoa, umri ukisonga uanze kuishi kama digidigi ndo utajua hujui na muda wa kurekebisha utakuwa huna tena!
 
Kutokuoa ni ufara Bora uoe wake wawili ili wasikupande kichwani
 
Vile vyama hasimu katika kupigania turufu ya wanaume yani (UWABATA), umoja wa wanaume bahili Tanzania pamoja na #Kataandoa vimeungana baada yakuona sera kadhaa zikiendana kwa kila chama!.

Muhimu kutambua muungano huu si wakubadili majina ya vyama la hasha!, bali ni katika kutetea yale mambo ambayo sote kwa pamoja tumeona yanafaa kurekebishwa ama kupingwa kabisa!.
Mfano swala la kutoa mahari, vyama vyote hivi viwili havipatani kabisa na jambo hili na ndio maana #kataandoa tukaja na sera ya "No reform no marriage!".
Humo tuliambatanisha mambo kadha wa kadha likiwemo na hilo la kutokukubaliana na mahari!.

Hivyo basi vyama hivi vitakuwa vikishirikishana baadhi ya mambo amabayo yatakuwa yanawiana!.
Ewe mwanachama wa UWABATA na kataa ndoa kaa mkao wakula maana mambo kemkem yapo mbioni kuibuliwa na kutatuliwa mpaka pale tutakapoifikia ile nchi ya asali na maziwa!.

Wako katika ujenzi wa vyama vyetu ni mimi katibu wa kataandoa!.

FB_IMG_17043792062936927.jpg
 
1746546991402.png

Baba yenu umri unaenda. Mie ni kizazi cha zamani. SIku hizi, humu JF, nasoma mabandiko mengi ya kataa ndoa. Je wanakataa ndoa kwanini? Je ili iweje? Je wazazi wao wangekataa ndoa, wao wangekuwa wapi? Je hawa ni mashoga waliojificha kwenye kukataa ndoa? Je tuwasaidieje na tatizo lao ni nini? Je wako tayari kuweka kila kitu wazi lau tuwasaidie? Baba yenu sielewi.​

Attachments

  • 1746546931343.png
    1746546931343.png
    156.5 KB · Views: 8
Back
Top Bottom