Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,589
- 17,736
- Thread starter
- #3,081
Hao ndio wake zaohapa napoishi kuna jamaa anamke mstaarabu sana ,mpole mnyenyekevu hatari kiufupi ni mwanamke mwenye heshima,
sasa jana naingia lodge na manzi namuona yule mke wa mtu naye tena anatoka lodge na jamaa flan wa garage halafu et ananionea aibu.
badae kdg baada ya show tumepumzika naona simu ya manz inaita kucheki imeseviwa "MY HUSBAND" ikabidi nimuulize kwa hasira we siulisema hujaolewa unakaa kwa dada yako ,
akanijibu kiunyonge "nisamee niliamin nikwambia nmeolewa utanipotezea wakat unajua kabsa nakupenda"
yaani time huyu naenda kumchakata tena yule mkewa mtu anatoka kuchakatwa,
ila huyu aliyenidanganya huwez amin kama ameolewa hata matiti yako fiti na ana mtoto(hii ni baada ya kuamua kupekua simu yake kujihakikishia)
na hizo ndio ndoa zao.
#YNWA