Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,484
- 19,989
Kwenye hili my shadow will be next to yours Broo. Propaganda nyingi sana kila mfano hasi wanatuweka hapo sisi.
#KATAA_NDOA
#KATAA_NDOA
Moja ya chama makini, kinacho wapa ukweli mchungu Wana chama wake.
Jadda Mimi na wewe tuna fahamiana rafiki, Leo nime Shiba so sitaki tujeshe hapa 😁😆Tatizo hii kataa ndoa yenu ni mikwara tu yani ni kama mnabeep muone kama wanawake watabadili tabia zao au la, ukitaka kuamini hili basi angalia pale mwanamke akisema kataa ndoa namna hawa kataa ndoa wa kiume watakavyomshambulia, kwa kifupi hii kampeni ya kataa ndoa haina lengo la kukataa ndoa bali lengo lake eti wanawake wabadilike na kwa kizazi hiki mtasubiri sana
Suhendra nimo nimo 😁😆, au na wewe ni chama hiki?!.Kumbe na wewe ni kataa ndoa😂
mimi ni mzee wa No fapBalozi wa chama Cha kataa ndoa proton pump
Ndio Ndio.....Napiga sana Ndoa kwa Nguvu zoteWe mwanachama wa kataa ndoa mkuu??
Alafu wewe kuna uzi fulani kule jukwaa la afya waka ku tag kama doctar aiseee nilicheka sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😃😃😃 mjumbe wa kamati, Poor Brain
Mimi sijawahi kuwa kataa ndoa na sitowahi kuwa kwa gharama zozote over my dead body.Half american chama haki kutambui mbona 😁
hahaha haya kakaMimi sijawahi kuwa kataa ndoa na sitowahi kuwa kwa gharama zozote over my dead body.
Nna mke mtarajiwa humu msije muua na presha kwa kuona nahusishwa na kataa ndoa.hahaha haya kaka
hahahaha, Mkuu hongera Sana. Acha niendelee kufurahi sinema hiiNna mke mtarajiwa humu msije muua na presha kwa kuona nahusishwa na kataa ndoa.
Ahsante mkuuhahahaha, Mkuu hongera Sana. Acha niendelee kufurahi sinema hii
hoya katibu mweneziMwenyekiti wa chama Cha kataa ndoa Liverpool VPN.