Vizuri sana mkuu ulipofanya part time nini kilikuvutia?mi sikuwa nikifkria kuwa mwl wala sikuogopa kukosa mkopo kwa course yangu,sikuchagua kuwa mwl,ila nimefany kwa muda kaz y ualimu as a part time tchr.nvofanya nlitaman ngesoma ualimu,bt sema t bhas haikuwa ndoto yangu.
nilipenda tuu,vile jins unakuwa unafundisha au unatoa vitu unafahamu kwa wanafunz pia kuna hali fulani ivi inafurahisha especially pale unapokuwa unafundisha na watoto wanafaulu na kuappreciate kazi yako,kweny maslahi sikugusa sabu sikuajiriwa so sijajua changamoto zake nyingi but nilikuwa najskia raha sana kuongoza kundi la wanafunz hadi nikaamua niwe nafundisha madarasa yote kuanzia f1 hadi f4 mkuu.huenda nilipenda kazi kwasabu si fani yangu au sikuwa employed ila ni nzuri.Vizuri sana mkuu ulipofanya part time nini kilikuvutia?
Ni kweli mkuu kuchangia mafanikio ya mtu mwingine inaleta furaha hivi ila kuna zaidi ya appreciation..nilipenda tuu,vile jins unakuwa unafundisha au unatoa vitu unafahamu kwa wanafunz pia kuna hali fulani ivi inafurahisha especially pale unapokuwa unafundisha na watoto wanafaulu na kuappreciate kazi yako,kweny maslahi sikugusa sabu sikuajiriwa so sijajua changamoto zake nyingi but nilikuwa najskia raha sana kuongoza kundi la wanafunz hadi nikaamua niwe nafundisha madarasa yote kuanzia f1 hadi f4 mkuu.huenda nilipenda kazi kwasabu si fani yangu au sikuwa employed ila ni nzuri.
yeah kitu najivunia icho mkuu,ni jambo zuri ila sijajua kwanin ambao ni walimu by profession weng si marafik wa wanafunz wote au weng ni hawapend hyo kazi? sababu inaweza kuwa kama yako kwamba kwasababu hawakupenda kusom ualimu?Ni kweli mkuu kuchangia mafanikio ya mtu mwingine inaleta furaha hivi ila kuna zaidi ya appreciation..
ni sahihi mkuu,unachokisema...coz mwenyew nipo nipenda sana kusoma nursing but mekuj kusom kitu kingne ila bado nina ndoto iyo na naeza kuitimiza nkiamua.Kazi ya ualimu ni nzuri japo mm cyo mwalimu nilisomea masomo ya biashara coz nilipenda bt nishawahi kufundisha wanafunzi chuo flan hvi cha madini Arusha maslahi yalikua ya kati coz they was pay me 10000 Tsh kwa kipindi kimoja ambacho ni kwa saa mbili na kwa wiki nilikua nina vipindi tano nilikua nafundisha Entrepreneurship Education lakini kazi hii ina changamoto hasa upate wanafunzi ambao awapendi somo yako... For really ni kazi nzuri na yenye heshima tele.. Bt kama ilikua cyo ndoto yako we kusome... Nivizuri kufanya yafuatayo..... Identity which it was ya dream na ckushauri uwache kazi bali ni vizuri tu kujua ndoto yako alafu mwaka ndyo unaanza panga mikakati juu ya ndoto yako ata kama ni kubwa anza kidogo
Mkuu kazi hii haina heshima hiyo unayoisena labda zamani sana ila kwasasa noKazi ya ualimu ni nzuri japo mm cyo mwalimu nilisomea masomo ya biashara coz nilipenda bt nishawahi kufundisha wanafunzi chuo flan hvi cha madini Arusha maslahi yalikua ya kati coz they was pay me 10000 Tsh kwa kipindi kimoja ambacho ni kwa saa mbili na kwa wiki nilikua nina vipindi tano nilikua nafundisha Entrepreneurship Education lakini kazi hii ina changamoto hasa upate wanafunzi ambao awapendi somo yako... For really ni kazi nzuri na yenye heshima tele.. Bt kama ilikua cyo ndoto yako we kusome... Nivizuri kufanya yafuatayo..... Identity which it was ya dream na ckushauri uwache kazi bali ni vizuri tu kujua ndoto yako alafu mwaka ndyo unaanza panga mikakati juu ya ndoto yako ata kama ni kubwa anza kidogo
Walimu wengi wako desperate sana na maisha so ni ngumu wao kufanya kazi vizuri.... Kazi hii inahitaji sana utulivu wa akiliyeah kitu najivunia icho mkuu,ni jambo zuri ila sijajua kwanin ambao ni walimu by profession weng si marafik wa wanafunz wote au weng ni hawapend hyo kazi? sababu inaweza kuwa kama yako kwamba kwasababu hawakupenda kusom ualimu?
ila walimu weng wa zaman ni wazur especially wale wa primary ndio huwa wanaelewana na kuwapenda wanafunz weng tofauti na hawa wa sasa.kwanin?
ah kweli mkuu,pia huwa inahitaji kutumia muda wako wa ziada kuandaa baadhi ya mambo kabla ya kwenda darsan au shuleni kufundisha.so weng huenda hawajajipanga kwa hili na mengne mengi...ndo manaWalimu wengi wako desperate sana na maisha so ni ngumu wao kufanya kazi vizuri.... Kazi hii inahitaji sana utulivu wa akili
yeah huwa inatokea na huwa inategemea na kipind ulichopo au na mood yako kwa wakati huo.Hili suala la kusomea kitu kingine tofauti na kile unachokipenda lipo sana