GEMO
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 250
- 277
Naomba kuanzisha mjadala kwa njia ya maswali…….
1. Je ulipenda kuwa Mwalimu au ni matokeo ya maisha ?
2. Kwanini ulisomea uwalimu?
3. Kama ulipenda nini kilichokuvutia kupenda hii kazi? Kama hapana maana yake kuna taaluma unayoipenda/uliipenda tofauti na uwalimu….Je ni ipi hiyo?
4. Umeshakuwa Mwalimu tayari, yamkini ulikuwa na ndoto nyingine hapo kabla…..Vipi kuhusu ndoto hiyo au ndo imekufa?
5. Je ili uweze kuishi ndoto yako inakupasa ufanye nini sasa?
6. Naamini wapo walimu humu wana malengo ya kubadili kazi au kama wanavyosema kuacha kazi ila kimsingi ni kubadili kazi wafanye kile wanachokipenda…..Toa ushauri wako wa kimkakati?
7. Miaka ingerudi nyuma mpaka mwaka ule uliochagua teaching profession, je ungeichagua tena? Au ungebadili maamuzi?