Mjadala kuhusu ndege Mpya za ATCL!

Mjadala kuhusu ndege Mpya za ATCL!

Uchambuzi wako hauna maana kwetu maana mshahara haujaongezwa na maisha ni magumu mno mtaani. Unazidi kutuboa tu, What is BOMBARDIER ? Mkate kwanza , mkono uingie kinywani kwanza. Unachambua Bombardier wakati watu wanaanza kupiga milo 2 tu kwa siku, wewe vipi?
Kwenu kina nani pro-Chadema JF?
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Swali nnalojiuliza mimi.

Ni kwanini nguvu kubwa inatumika sana kuisifia hii ndege(pangaboi)?
Kuna nini hapo?
 
Uchambuzi wa mafuta siyo sahihi. Boieng 747 fuel burn ni 4 gallons per mile abiria 400 na zaidi. Hivo fuel burn per passanger per mile 0.01 gallons per passanger per mile. Fuel burn bombadier 1.187 gallons per mile abiria 70. Hivo fuel burn per mile per passenger 1.187/70 sawa na 0.017 gallons per passenger per mile. Ni dhahiri 747 ni fuel efficient zaidi ukizingatia idadi ya abiria.
 
Ni uchambuzi mzuri, ila wasiwasi wangu upo kwenye mafuta kwa hiyo boeing, kwanini tofauti ya ulaji mafuta ni mkubwa sana?
Jet engine zote zinakula sana mafuta japo pia sina uhakika na hiyo data
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Uchambuzi wa mafuta siyo sahihi. Boieng 747 fuel burn ni 4 gallons per mile abiria 400 na zaidi. Hivo fuel burn per passanger per mile 0.01 gallons per passanger per mile. Fuel burn bombadier 1.187 gallons per mile abiria 70. Hivo fuel burn per mile per passenger 1.187/70 sawa na 0.017 gallons per passenger per mile. Ni dhahiri 747 ni fuel efficient zaidi ukizingatia idadi ya abiria.
Usipoteze muda wako simplemind kwa kuwapa hizi hesabu ngumu...aliyeleta thread yuko kati ya wale wale na uelewa wao ndio ule uleee...Mtu asiye na aibu na aliye na ujasiri wa kutetea uvunjwaji wa katiba ya nchi atapata wapi akili ya kukokotoa takwimu kwa kiwango hicho?

Hiyo sayansi inaitwa aircraft fuel economy na inazingatia kinachoitwa fuel consumed per passenger per kilometer! Hapo hatujaweka muda wa ndege kuwa angani kwa safari yenye umbali ule ule wala system of propulsion ya propellers vs jets...oh samahani, nimesahau naongea na watu kama Ritz!
 
Hapo kwenye mafuta mmmh...songea to dar haiwezekani basi tu haipungui laki nne
 
Uboreshwaji wa huduma za reli ungegusa maisha ya watanzania wengi kuliko kuwekeza katika usafiri wa ndege kwa sasa. Katika usafiri wa anga walau sekta binafsi imeshajiimsrisha. Kwenye reli hakuna sekta binafsi na mahiaji ni makubwa.
 
Hizo kilometa Dar to Songea me hoi.. Napata wasiwasi kila lililoandikwa
 
Ndege na Chanjo na madawa bora kipi? Hatuna kipaumbele! Kesho mtanunua magari ya kumwagilia ile miti ya Makonda mtayopanda October 1! Ni hatari kama hatuna vipaumbele kama nchi!
Wanaukumbi.

Kumekuwa na Mjadala kuhusu ndege Mpya za ATCL! Nimeikuta hii mahali na naweka hapa wengine nao waone! Nikiwa kama Mtanzania muuza kahawa, ninaelewa! Wakati mwingine ni vizuri kujua hadi uamuzi unafikiwa watu wamefanya utafiti, hali halisi ya viwanja vyetu na sababu zipi kwa chaguo husika!

BOEING VS BOMBARDIER

KWANINI TUMENUNUA BOMBARDIER?

Shirika letu la ndege lilikufa kwasababu ya kushindwa kujiendesha kutokana na gharama kubwa za uendeshaji pamoja na ufinyu wa abiria wanaotumia usafiri wa anga!

Mwanzo nilifikiri labda ni wizi unafanyika lakini baada ya kujua gharama chache za uendeshaji nikaona ni sawa kwa shirika hili kushindwa kujiendesha.

Naomba nianze na bei ya Boeing

Boeing inauzwa dola milioni mia mbili tisini na sita(US296millions) wakati Bombardier Q400 inauzwa dola milioni 35 tu(US35millions)

Kumbe badala ya kununua Boeing moja ni heri tuongezee dola milioni kumi na tisa(US19millions) tununue Bombardier tisa(Bombardier 9)

Hesabu yake:

Boeing price US296 millions
Bombardier Price US35 millions
(35×9=315)
315-296=19

Ambapo hizi Bombardier tisa zingetusaidia kwa upande wa shirika kujiendesha lenyewe na kutupatia faida kubwa kwa mara tisa kwa Taifa.

Kuhusu Speed ya Boeing ni kweli ni kubwa kuliko Bombardier kutokana na uchomaji wa mafuta, Speed yake ni 590mph wakati speed ya Bombardier ni 414mph au 667km/h

Kama kutoka Dar to Mwanza ni Km 1100 maana yake Bombardier itatumia saa moja na dakika arobaini (1 hr and 40mnts) wakati Boeing itatumia saa moja na dakika kumi na tano(1hr and 15 mnts) tofauti ni dakika 25 tu

Boeing inatumia dumu moja la mafuta la lita 4 kwa sekunde moja kwa hiyo kwa lisaa limoja inatumia lita elfu kumi na nne mia nne (14,400) (4l×60s×60m)

Kwa mfano:

Mafuta ya ndege kwa lita yakiuzwa shilingi 2000 maana yake ili tutie mafuta ya kuelekea safari ya Songea inayochukua takriban saa moja tu tunahitaji milioni 28,800,000(14,400×2000)
Na tunahitaji abiria 96 watakaolipa Tsh 300,000 ili kuweza kulipia gharama za mafuta tu.

Hapo hatujajumlisha gharama za service na wafanyakazi na wala hatujapata faida yoyote

Bombardier inatumia 1.187lita ya madumu ya mafuta kwa mile moja yaani ukikadiria inatumia lita moja ya mafuta kwa mile moja (1mile=1.6kms)
Songea to Dar Air Distance ni takribani kilometa 537=335.625miles

Kwahiyo itatumia lita 398.386875 ambazo ukizizidisha kwa gharama ya Tsh 2000 kwa lita unapata laki saba tisini na sita elfu mia saba sabini na tatu=796,773

Kiuchumi kugharamika 28,800,000 na kugharamika 797,000 bora kipi?

Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu na mwenye kutaka shirika hili kujiendesha kwa kibiashara ni lazima atumie Bombardier ili apate faida.

Pia kutokana na hali ya viwanja vyetu ndege hizi zinafaa kwa sababu zinaweza kutua katika viwanja vya kawaida ndio maana serikali ilizinunua ndege hizi mahususi kwa safari za ndani!

Hizi ndege Bombardier Q400 zinatumika Marekani na wanaendelea kununua Shirika la ndege la American Eagle wanazo Bombardier 35 Uingereza nao shirika la ndege la Flybe wamenunua 40.

Australian Air wamenunua 20
Ethiopia wamenunua 4 kufikisha idadi ya Bombardier 19.

Hatuwezi kutenga bajeti ya serikali iende ikahudumie shirika la ndege ambalo ukitumia akili ya kiuchumi hili shirika linaweza kujiendesha na likaliletea faida Taifa na kuliinua kiuchumi.

Hatupo kwa ajili ya kujishow off kutumia ndege za gharama kubwa na zisizo na faida ili watu watuone tuna ndege kubwa no!

Tupo kwa ajili ya kuliendeleza Taifa letu kwa faida liendelee mbele.

Sharing is caring!
Nimeikuta hii mahali na naweka hapa wengine nao waone! Nikiwa kama mtanzania muuza kahawa sina ufahamu sana wa haya masuala! Wakati mwingine ni vizuri kujua hadi uamuzi unafikiwa watu wamefanya utafiti, hali halisi ya viwanja vyetu na sababu zipi kwa chaguo husika!

View attachment 406773
View attachment 406774
 
Bombadier 9 uzipeleke route ipi aisee?? Hizi Dash 8 safari ndefu kabisa kabla ni Mwanza Dar. Itashuka kila nchi ijaze mafuta na service zingine ndio ifike SA tu acha Accra!
 
Uchambuzi wako hauna maana kwetu maana mshahara haujaongezwa na maisha ni magumu mno mtaani. Unazidi kutuboa tu, What is BOMBARDIER ? Mkate kwanza , mkono uingie kinywani kwanza. Unachambua Bombardier wakati watu wanaanza kupiga milo 2 tu kwa siku, wewe vipi?
Mkuu hiyo kwetu! Ungesema kwako,
 
Kwa yote uliyoyaongea, na ingawa sijayafanyia utafiti, lakini comparison hii ya mafuta, sitaki kukubaliana nayo!

[emoji117]Kiuchumi kugharimikia 28,800,000 na kugharimika 797,000 bora kipi?
 
Bombadier 9 uzipeleke route ipi aisee?? Hizi Dash 8 safari ndefu kabisa kabla ni Mwanza Dar. Itashuka kila nchi ijaze mafuta na service zingine ndio ifike SA tu acha Accra!
Hizi zitafaa local na regional flights tu.
 
mimi hiyo gharama ya mafuta nakataa haiwezekani ndege ilingane na lori kiasi cha mafuta cha dar songea
Mtanzania bwana n mtu wa kubisha 2 afu hajui nenda na ww kafanye uchunguz uje na data kamili sio kuwa bingwa wa kukataa
 
Specs za Boeing 737-800 hizo hapo. Kazi kwenu kudadavua.
Seats: 186
Length: 39.50 m
Height: 12.50 m
Wing span: 34.40 m
Maximum take-off weight: 78,240 kg
Maximum landing weight: 65,310 kg
Weight empty 41,410 kg
Tank capacity (kerosene): 21,320 kg
Fuel consumption per flying hour: 2,526 kg/h
Maximum range: 5,420 km
Maximum cruising height: 41,000 ft
Engines: CFM56-7
Maximum standing thrust: 2 x 26,400 lbs
Take-off speed (full): 290 km/h
Landing speed: 260 km/h
Cruising speed: 840 km/h

Source: Boeing 737-800 - our fleet - airberlin.com

NOTE: 1kg of Jet A1 = 1.742Ltrs.
 
Usipoteze muda wako simplemind kwa kuwapa hizi hesabu ngumu...aliyeleta thread yuko kati ya wale wale na uelewa wao ndio ule uleee...Mtu asiye na aibu na aliye na ujasiri wa kutetea uvunjwaji wa katiba ya nchi atapata wapi akili ya kukokotoa takwimu kwa kiwango hicho?

Hiyo sayansi inaitwa aircraft fuel economy na inazingatia kinachoitwa fuel consumed per passenger per kilometer! Hapo hatujaweka muda wa ndege kuwa angani kwa safari yenye umbali ule ule wala system of propulsion ya propellers vs jets...oh samahani, nimesahau naongea na watu kama Ritz!
Naona povu linakutoka ovyo tu na kumshambilia mleta mada jenga hoja zako watu wakusome au unasubiri tamko la Mbowe, huyo ndiyo kawashikia akili zenu wewe kazi kupinga tu kila kitu, halafu mnajifanya wajanja ungekuwa unajitambua ungeongozwa na DJ, vipi tarehe 1 maandamano ya UKUTA yapo?
 
Mtoa mada anasema:-

Kama kutoka Dar to Mwanza ni Km 1100 maana yake Bombardier itatumia saa moja na dakika arobaini (1 hr and 40mnts) wakati Boeing itatumia saa moja na dakika kumi na tano(1hr and 15 mnts) tofauti ni dakika 25 tu

Kwa hesabu hizo, na kwa kuzingatia "Fuel consumption per flying hour ya Boieng: 2,526 kg/h" na kwamba 1kg of Jet A1 = 1.742Ltrs, Boeing, roughly, itatumia 2,526 x 1.25 = 3,157.5kg za mafuta DAR-MWZ equivalent to 3.157.5 x 1.742 = 5,500.365ltr. Kwa bei aliyopendekeza ya T.Sha 2,000/ltr ina maana matumizi ya Boeing ni 5,500.365 x 2000 = T.Shs. 11,000,730/= DAR - MWZ.

Kuna mijitu ina PhD za uongo humu!
 
Back
Top Bottom