Mkuu, hasante sana!Sisi wengine hatusemi sana ila tunasubiri matokeo.
Tunasubiri kuona Nauli Nafuu, Huduma Bora, Sustainability, Uharaka na Uhakika.
Tumezoea kupanda mabasi na wala hatuulizi ni Scania, Layland, Yutong, Marcopollo nk. Sisi tunataka Uhakika, Ubora na Unafuu.
hii gari ya chini naijua ila plate namba sijui kama ni hizi ngoja nitaicheki wkend imeandikwa jina piaMwakani watakuwa wanatembelea Lexus na Range Rover badala ya Land Cruiser V 8 2016 View attachment 406795View attachment 406796
Nimeonyesha mfano Tu hyo Range Rover Vogue ni Mali ya kampuni ya Kukodisha Magar inatiwa FabCars company hv miss la kwako ndo lile Nissan Juke eeeh?hii gari ya chini naijua ila plate namba sijui kama ni hizi ngoja nitaicheki wkend imeandikwa jina pia
Wewe acha kupotosha watu Nani kakwambia mafuta ya ndege ni 2000/lita? Hivi uwa mnawachukuaje watanzania?Wanaukumbi.
Kumekuwa na Mjadala kuhusu ndege Mpya za ATCL! Nimeikuta hii mahali na naweka hapa wengine nao waone! Nikiwa kama Mtanzania muuza kahawa, ninaelewa! Wakati mwingine ni vizuri kujua hadi uamuzi unafikiwa watu wamefanya utafiti, hali halisi ya viwanja vyetu na sababu zipi kwa chaguo husika!
BOEING VS BOMBARDIER
KWANINI TUMENUNUA BOMBARDIER?
Shirika letu la ndege lilikufa kwasababu ya kushindwa kujiendesha kutokana na gharama kubwa za uendeshaji pamoja na ufinyu wa abiria wanaotumia usafiri wa anga!
Mwanzo nilifikiri labda ni wizi unafanyika lakini baada ya kujua gharama chache za uendeshaji nikaona ni sawa kwa shirika hili kushindwa kujiendesha.
Naomba nianze na bei ya Boeing
Boeing inauzwa dola milioni mia mbili tisini na sita(US296millions) wakati Bombardier Q400 inauzwa dola milioni 35 tu(US35millions)
Kumbe badala ya kununua Boeing moja ni heri tuongezee dola milioni kumi na tisa(US19millions) tununue Bombardier tisa(Bombardier 9)
Hesabu yake:
Boeing price US296 millions
Bombardier Price US35 millions
(35×9=315)
315-296=19
Ambapo hizi Bombardier tisa zingetusaidia kwa upande wa shirika kujiendesha lenyewe na kutupatia faida kubwa kwa mara tisa kwa Taifa.
Kuhusu Speed ya Boeing ni kweli ni kubwa kuliko Bombardier kutokana na uchomaji wa mafuta, Speed yake ni 590mph wakati speed ya Bombardier ni 414mph au 667km/h
Kama kutoka Dar to Mwanza ni Km 1100 maana yake Bombardier itatumia saa moja na dakika arobaini (1 hr and 40mnts) wakati Boeing itatumia saa moja na dakika kumi na tano(1hr and 15 mnts) tofauti ni dakika 25 tu
Boeing inatumia dumu moja la mafuta la lita 4 kwa sekunde moja kwa hiyo kwa lisaa limoja inatumia lita elfu kumi na nne mia nne (14,400) (4l×60s×60m)
Kwa mfano:
Mafuta ya ndege kwa lita yakiuzwa shilingi 2000 maana yake ili tutie mafuta ya kuelekea safari ya Songea inayochukua takriban saa moja tu tunahitaji milioni 28,800,000(14,400×2000)
Na tunahitaji abiria 96 watakaolipa Tsh 300,000 ili kuweza kulipia gharama za mafuta tu.
Hapo hatujajumlisha gharama za service na wafanyakazi na wala hatujapata faida yoyote
Bombardier inatumia 1.187lita ya madumu ya mafuta kwa mile moja yaani ukikadiria inatumia lita moja ya mafuta kwa mile moja (1mile=1.6kms)
Songea to Dar Air Distance ni takribani kilometa 537=335.625miles
Kwahiyo itatumia lita 398.386875 ambazo ukizizidisha kwa gharama ya Tsh 2000 kwa lita unapata laki saba tisini na sita elfu mia saba sabini na tatu=796,773
Kiuchumi kugharamika 28,800,000 na kugharamika 797,000 bora kipi?
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu na mwenye kutaka shirika hili kujiendesha kwa kibiashara ni lazima atumie Bombardier ili apate faida.
Pia kutokana na hali ya viwanja vyetu ndege hizi zinafaa kwa sababu zinaweza kutua katika viwanja vya kawaida ndio maana serikali ilizinunua ndege hizi mahususi kwa safari za ndani!
Hizi ndege Bombardier Q400 zinatumika Marekani na wanaendelea kununua Shirika la ndege la American Eagle wanazo Bombardier 35 Uingereza nao shirika la ndege la Flybe wamenunua 40.
Australian Air wamenunua 20
Ethiopia wamenunua 4 kufikisha idadi ya Bombardier 19.
Hatuwezi kutenga bajeti ya serikali iende ikahudumie shirika la ndege ambalo ukitumia akili ya kiuchumi hili shirika linaweza kujiendesha na likaliletea faida Taifa na kuliinua kiuchumi.
Hatupo kwa ajili ya kujishow off kutumia ndege za gharama kubwa na zisizo na faida ili watu watuone tuna ndege kubwa no!
Tupo kwa ajili ya kuliendeleza Taifa letu kwa faida liendelee mbele.
Sharing is caring!
Nimeikuta hii mahali na naweka hapa wengine nao waone! Nikiwa kama mtanzania muuza kahawa sina ufahamu sana wa haya masuala! Wakati mwingine ni vizuri kujua hadi uamuzi unafikiwa watu wamefanya utafiti, hali halisi ya viwanja vyetu na sababu zipi kwa chaguo husika!

View attachment 406773
View attachment 406774
1kg = 1.742 ltr dudus this informatio is valid at what temperature?Specs za Boeing 737-800 hizo hapo. Kazi kwenu kudadavua.
Seats: 186
Length: 39.50 m
Height: 12.50 m
Wing span: 34.40 m
Maximum take-off weight: 78,240 kg
Maximum landing weight: 65,310 kg
Weight empty 41,410 kg
Tank capacity (kerosene): 21,320 kg
Fuel consumption per flying hour: 2,526 kg/h
Maximum range: 5,420 km
Maximum cruising height: 41,000 ft
Engines: CFM56-7
Maximum standing thrust: 2 x 26,400 lbs
Take-off speed (full): 290 km/h
Landing speed: 260 km/h
Cruising speed: 840 km/h
Source: Boeing 737-800 - our fleet - airberlin.com
NOTE: 1kg of Jet A1 = 1.742Ltrs.
Wewe ni Muha? natania tu mkuu, maana waha kwa ubishi.Ni uchambuzi mzuri, ila wasiwasi wangu upo kwenye mafuta kwa hiyo boeing, kwanini tofauti ya ulaji mafuta ni mkubwa sana?
Hizo kilometa Dar to Songea me hoi.. Napata wasiwasi kila lililoandikwa
Ni uchambuzi mzuri, ila wasiwasi wangu upo kwenye mafuta kwa hiyo boeing, kwanini tofauti ya ulaji mafuta ni mkubwa sana?[/QUO
Inawezekana kwa sababu wakati Lori linatumia kiasi hicho cha mafuta kwa siku mbili, ndege inatumia kiasi hicho kwa saa mbili.mimi hiyo gharama ya mafuta nakataa haiwezekani ndege ilingane na lori kiasi cha mafuta cha dar songea
400 au 4000 ? Hata chata inachukua 100mimi hiyo gharama ya mafuta nakataa haiwezekani ndege ilingane na lori kiasi cha mafuta cha dar songea
Ahsante kwa uchambuzi mzuri, lakin kwenye consumption ya mafuta umetia chumvi kidogo. ni kweli BOEING inatumia mafuta mengi kuliko BOMBARDIER lakin si kwa kiasi hicho.Wanaukumbi.
Kumekuwa na Mjadala kuhusu ndege Mpya za ATCL! Nimeikuta hii mahali na naweka hapa wengine nao waone! Nikiwa kama Mtanzania muuza kahawa, ninaelewa! Wakati mwingine ni vizuri kujua hadi uamuzi unafikiwa watu wamefanya utafiti, hali halisi ya viwanja vyetu na sababu zipi kwa chaguo husika!
BOEING VS BOMBARDIER
KWANINI TUMENUNUA BOMBARDIER?
Shirika letu la ndege lilikufa kwasababu ya kushindwa kujiendesha kutokana na gharama kubwa za uendeshaji pamoja na ufinyu wa abiria wanaotumia usafiri wa anga!
Mwanzo nilifikiri labda ni wizi unafanyika lakini baada ya kujua gharama chache za uendeshaji nikaona ni sawa kwa shirika hili kushindwa kujiendesha.
Naomba nianze na bei ya Boeing
Boeing inauzwa dola milioni mia mbili tisini na sita(US296millions) wakati Bombardier Q400 inauzwa dola milioni 35 tu(US35millions)
Kumbe badala ya kununua Boeing moja ni heri tuongezee dola milioni kumi na tisa(US19millions) tununue Bombardier tisa(Bombardier 9)
Hesabu yake:
Boeing price US296 millions
Bombardier Price US35 millions
(35×9=315)
315-296=19
Ambapo hizi Bombardier tisa zingetusaidia kwa upande wa shirika kujiendesha lenyewe na kutupatia faida kubwa kwa mara tisa kwa Taifa.
Kuhusu Speed ya Boeing ni kweli ni kubwa kuliko Bombardier kutokana na uchomaji wa mafuta, Speed yake ni 590mph wakati speed ya Bombardier ni 414mph au 667km/h
Kama kutoka Dar to Mwanza ni Km 1100 maana yake Bombardier itatumia saa moja na dakika arobaini (1 hr and 40mnts) wakati Boeing itatumia saa moja na dakika kumi na tano(1hr and 15 mnts) tofauti ni dakika 25 tu
Boeing inatumia dumu moja la mafuta la lita 4 kwa sekunde moja kwa hiyo kwa lisaa limoja inatumia lita elfu kumi na nne mia nne (14,400) (4l×60s×60m)
Kwa mfano:
Mafuta ya ndege kwa lita yakiuzwa shilingi 2000 maana yake ili tutie mafuta ya kuelekea safari ya Songea inayochukua takriban saa moja tu tunahitaji milioni 28,800,000(14,400×2000)
Na tunahitaji abiria 96 watakaolipa Tsh 300,000 ili kuweza kulipia gharama za mafuta tu.
Hapo hatujajumlisha gharama za service na wafanyakazi na wala hatujapata faida yoyote
Bombardier inatumia 1.187lita ya madumu ya mafuta kwa mile moja yaani ukikadiria inatumia lita moja ya mafuta kwa mile moja (1mile=1.6kms)
Songea to Dar Air Distance ni takribani kilometa 537=335.625miles
Kwahiyo itatumia lita 398.386875 ambazo ukizizidisha kwa gharama ya Tsh 2000 kwa lita unapata laki saba tisini na sita elfu mia saba sabini na tatu=796,773
Kiuchumi kugharamika 28,800,000 na kugharamika 797,000 bora kipi?
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu na mwenye kutaka shirika hili kujiendesha kwa kibiashara ni lazima atumie Bombardier ili apate faida.
Pia kutokana na hali ya viwanja vyetu ndege hizi zinafaa kwa sababu zinaweza kutua katika viwanja vya kawaida ndio maana serikali ilizinunua ndege hizi mahususi kwa safari za ndani!
Hizi ndege Bombardier Q400 zinatumika Marekani na wanaendelea kununua Shirika la ndege la American Eagle wanazo Bombardier 35 Uingereza nao shirika la ndege la Flybe wamenunua 40.
Australian Air wamenunua 20
Ethiopia wamenunua 4 kufikisha idadi ya Bombardier 19.
Hatuwezi kutenga bajeti ya serikali iende ikahudumie shirika la ndege ambalo ukitumia akili ya kiuchumi hili shirika linaweza kujiendesha na likaliletea faida Taifa na kuliinua kiuchumi.
Hatupo kwa ajili ya kujishow off kutumia ndege za gharama kubwa na zisizo na faida ili watu watuone tuna ndege kubwa no!
Tupo kwa ajili ya kuliendeleza Taifa letu kwa faida liendelee mbele.
Sharing is caring!
Nimeikuta hii mahali na naweka hapa wengine nao waone! Nikiwa kama mtanzania muuza kahawa sina ufahamu sana wa haya masuala! Wakati mwingine ni vizuri kujua hadi uamuzi unafikiwa watu wamefanya utafiti, hali halisi ya viwanja vyetu na sababu zipi kwa chaguo husika!
BOEING VS BOMBARDIER
KWANINI TUMENUNUA BOMBARDIER?
Shirika letu la ndege lilikufa kwasababu ya kushindwa kujiendesha kutokana na gharama kubwa za uendeshaji pamoja na ufinyu wa abiria wanaotumia usafiri wa anga!
Mwanzo nilifikiri labda ni wizi unafanyika lakini baada ya kujua gharama chache za uendeshaji nikaona ni sawa kwa shirika hili kushindwa kujiendesha.
Naomba nianze na bei ya Boeing
Boeing inauzwa dola milioni mia mbili tisini na sita(US296millions) wakati Bombardier Q400 inauzwa dola milioni 35 tu(US35millions)
Kumbe badala ya kununua Boeing moja ni heri tuongezee dola milioni kumi na tisa(US19millions) tununue Bombardier tisa(Bombardier 9)
Hesabu yake:
Boeing price US296 millions
Bombardier Price US35 millions
(35×9=315)
315-296=19
Ambapo hizi Bombardier tisa zingetusaidia kwa upande wa shirika kujiendesha lenyewe na kutupatia faida kubwa kwa mara tisa kwa Taifa.
Kuhusu Speed ya Boeing ni kweli ni kubwa kuliko Bombardier kutokana na uchomaji wa mafuta, Speed yake ni 590mph wakati speed ya Bombardier ni 414mph au 667km/h
Kama kutoka Dar to Mwanza ni Km 1100 maana yake Bombardier itatumia saa moja na dakika arobaini (1 hr and 40mnts) wakati Boeing itatumia saa moja na dakika kumi na tano(1hr and 15 mnts) tofauti ni dakika 25 tu
Boeing inatumia dumu moja la mafuta la lita 4 kwa sekunde moja kwa hiyo kwa lisaa limoja inatumia lita elfu kumi na nne mia nne (14,400) (4l×60s×60m)
Kwa mfano:
Mafuta ya ndege kwa lita yakiuzwa shilingi 2000 maana yake ili tutie mafuta ya kuelekea safari ya Songea inayochukua takriban saa moja tu tunahitaji milioni 28,800,000(14,400×2000)
Na tunahitaji abiria 96 watakaolipa Tsh 300,000 ili kuweza kulipia gharama za mafuta tu.
Hapo hatujajumlisha gharama za service na wafanyakazi na wala hatujapata faida yoyote
Bombardier inatumia 1.187lita ya madumu ya mafuta kwa mile moja yaani ukikadiria inatumia lita moja ya mafuta kwa mile moja (1mile=1.6kms)
Songea to Dar Air Distance ni takribani kilometa 537=335.625miles
Kwahiyo itatumia lita 398.386875 ambazo ukizizidisha kwa gharama ya Tsh 2000 kwa lita unapata laki saba tisini na sita elfu mia saba sabini na tatu=796,773
Kiuchumi kugharamika 28,800,000 na kugharamika 797,000 bora kipi?
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu na mwenye kutaka shirika hili kujiendesha kwa kibiashara ni lazima atumie Bombardier ili apate faida.
Pia kutokana na hali ya viwanja vyetu ndege hizi zinafaa kwa sababu zinaweza kutua katika viwanja vya kawaida ndio maana serikali ilizinunua ndege hizi mahususi kwa safari za ndani!
Hizi ndege Bombardier Q400 zinatumika Marekani na wanaendelea kununua Shirika la ndege la American Eagle wanazo Bombardier 35 Uingereza nao shirika la ndege la Flybe wamenunua 40.
Australian Air wamenunua 20
Ethiopia wamenunua 4 kufikisha idadi ya Bombardier 19.
Hatuwezi kutenga bajeti ya serikali iende ikahudumie shirika la ndege ambalo ukitumia akili ya kiuchumi hili shirika linaweza kujiendesha na likaliletea faida Taifa na kuliinua kiuchumi.
Hatupo kwa ajili ya kujishow off kutumia ndege za gharama kubwa na zisizo na faida ili watu watuone tuna ndege kubwa no!
Tupo kwa ajili ya kuliendeleza Taifa letu kwa faida liendelee mbele.
View attachment 406773
View attachment 406774
Baada ya bandiko hili watakwambia zinachelewa kufika hivyo hawatapanda.Ahsante kwa uchambuzi mzuri, lakin kwenye consumption ya mafuta umetia chumvi kidogo. ni kweli BOEING inatumia mafuta mengi kuliko BOMBARDIER lakin si kwa kiasi hicho.
kwa mfano, safari ya kutoka JNIA kwenda KIA, fastjet wanatumia 12,000,000/= ambayo ni aina ya boeing na precission air wanatumia takriban 3,000,000/= kwa safari hiyo hiyo (precission air nadhan inakaribiana na hizi za atcl kwa karibu sana katika consumption ya mafuta). tunaweza sema boeing inatumia mafuta mara nne ya bombaedier. mimi ni mdau wa mambo hayo hapa swisport, so nilichoandika nina uhakika nacho.
Ni kweli serikali imefanya busara sana kununua ndege hizi ambazo ni economical. acha watu waseme yao, ni wapinzani na ni jadi yao kupinga.
Sababu ni kwamba kuna nguvu kubwa sana nyuma ya pazia zionekane si kitu/si chochote kwa faida ya wachache.Swali nnalojiuliza mimi.
Ni kwanini nguvu kubwa inatumika sana kuisifia hii ndege(pangaboi)?
Kuna nini hapo?
Fastjet ni airbus, sio boeing mkuuAhsante kwa uchambuzi mzuri, lakin kwenye consumption ya mafuta umetia chumvi kidogo. ni kweli BOEING inatumia mafuta mengi kuliko BOMBARDIER lakin si kwa kiasi hicho.
kwa mfano, safari ya kutoka JNIA kwenda KIA, fastjet wanatumia 12,000,000/= ambayo ni aina ya boeing na precission air wanatumia takriban 3,000,000/= kwa safari hiyo hiyo (precission air nadhan inakaribiana na hizi za atcl kwa karibu sana katika consumption ya mafuta). tunaweza sema boeing inatumia mafuta mara nne ya bombaedier. mimi ni mdau wa mambo hayo hapa swisport, so nilichoandika nina uhakika nacho.
Ni kweli serikali imefanya busara sana kununua ndege hizi ambazo ni economical. acha watu waseme yao, ni wapinzani na ni jadi yao kupinga.
Achana na akili za kizamani mkuu. Marekani wanaotoa misaada duniani kote wanao ombaomba kwenye mitaa ya New York, Mississippi na Detroit. Kwanini hizo pesa wanazowapa mataifa mengine, wasiondoe kwanza shida za kawaida kabisa za raia wao?.Mjadala sio kwanini wamenunua Bombadier. Ni kwanini wananunua ndege wakati sio kipaumbele? Hospitali hakuna chanjo hata ya pepopunda na madawati hadi kuombaomba.
Mtaani hata usafi haufanyiki hadi kushurutisha raia.
Pesa za kununuliwa hayo mapangashaa zingejenga maabara ngapi? Yani mnanunua ndege afu maabara watu wanachangishwa? Kama sio ujinga ni nini?