Mjadala kuhusu ndege Mpya za ATCL!

Mjadala kuhusu ndege Mpya za ATCL!

Wanaukumbi.

Kumekuwa na Mjadala kuhusu ndege Mpya za ATCL! Nimeikuta hii mahali na naweka hapa wengine nao waone! Nikiwa kama Mtanzania muuza kahawa, ninaelewa! Wakati mwingine ni vizuri kujua hadi uamuzi unafikiwa watu wamefanya utafiti, hali halisi ya viwanja vyetu na sababu zipi kwa chaguo husika!

BOEING VS BOMBARDIER

KWANINI TUMENUNUA BOMBARDIER?

Shirika letu la ndege lilikufa kwasababu ya kushindwa kujiendesha kutokana na gharama kubwa za uendeshaji pamoja na ufinyu wa abiria wanaotumia usafiri wa anga!

Mwanzo nilifikiri labda ni wizi unafanyika lakini baada ya kujua gharama chache za uendeshaji nikaona ni sawa kwa shirika hili kushindwa kujiendesha.

Naomba nianze na bei ya Boeing

Boeing inauzwa dola milioni mia mbili tisini na sita(US296millions) wakati Bombardier Q400 inauzwa dola milioni 35 tu(US35millions)

Kumbe badala ya kununua Boeing moja ni heri tuongezee dola milioni kumi na tisa(US19millions) tununue Bombardier tisa(Bombardier 9)

Hesabu yake:

Boeing price US296 millions
Bombardier Price US35 millions
(35×9=315)
315-296=19

Ambapo hizi Bombardier tisa zingetusaidia kwa upande wa shirika kujiendesha lenyewe na kutupatia faida kubwa kwa mara tisa kwa Taifa.

Kuhusu Speed ya Boeing ni kweli ni kubwa kuliko Bombardier kutokana na uchomaji wa mafuta, Speed yake ni 590mph wakati speed ya Bombardier ni 414mph au 667km/h

Kama kutoka Dar to Mwanza ni Km 1100 maana yake Bombardier itatumia saa moja na dakika arobaini (1 hr and 40mnts) wakati Boeing itatumia saa moja na dakika kumi na tano(1hr and 15 mnts) tofauti ni dakika 25 tu

Boeing inatumia dumu moja la mafuta la lita 4 kwa sekunde moja kwa hiyo kwa lisaa limoja inatumia lita elfu kumi na nne mia nne (14,400) (4l×60s×60m)

Kwa mfano:

Mafuta ya ndege kwa lita yakiuzwa shilingi 2000 maana yake ili tutie mafuta ya kuelekea safari ya Songea inayochukua takriban saa moja tu tunahitaji milioni 28,800,000(14,400×2000)
Na tunahitaji abiria 96 watakaolipa Tsh 300,000 ili kuweza kulipia gharama za mafuta tu.

Hapo hatujajumlisha gharama za service na wafanyakazi na wala hatujapata faida yoyote

Bombardier inatumia 1.187lita ya madumu ya mafuta kwa mile moja yaani ukikadiria inatumia lita moja ya mafuta kwa mile moja (1mile=1.6kms)
Songea to Dar Air Distance ni takribani kilometa 537=335.625miles

Kwahiyo itatumia lita 398.386875 ambazo ukizizidisha kwa gharama ya Tsh 2000 kwa lita unapata laki saba tisini na sita elfu mia saba sabini na tatu=796,773

Kiuchumi kugharamika 28,800,000 na kugharamika 797,000 bora kipi?

Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu na mwenye kutaka shirika hili kujiendesha kwa kibiashara ni lazima atumie Bombardier ili apate faida.

Pia kutokana na hali ya viwanja vyetu ndege hizi zinafaa kwa sababu zinaweza kutua katika viwanja vya kawaida ndio maana serikali ilizinunua ndege hizi mahususi kwa safari za ndani!

Hizi ndege Bombardier Q400 zinatumika Marekani na wanaendelea kununua Shirika la ndege la American Eagle wanazo Bombardier 35 Uingereza nao shirika la ndege la Flybe wamenunua 40.

Australian Air wamenunua 20
Ethiopia wamenunua 4 kufikisha idadi ya Bombardier 19.

Hatuwezi kutenga bajeti ya serikali iende ikahudumie shirika la ndege ambalo ukitumia akili ya kiuchumi hili shirika linaweza kujiendesha na likaliletea faida Taifa na kuliinua kiuchumi.

Hatupo kwa ajili ya kujishow off kutumia ndege za gharama kubwa na zisizo na faida ili watu watuone tuna ndege kubwa no!

Tupo kwa ajili ya kuliendeleza Taifa letu kwa faida liendelee mbele.

Sharing is caring!
Nimeikuta hii mahali na naweka hapa wengine nao waone! Nikiwa kama mtanzania muuza kahawa sina ufahamu sana wa haya masuala! Wakati mwingine ni vizuri kujua hadi uamuzi unafikiwa watu wamefanya utafiti, hali halisi ya viwanja vyetu na sababu zipi kwa chaguo husika!

View attachment 406773
View attachment 406774
Inabidi urudi tena kwenye internet ufanye utafiti wako tena, Unapotaja ndege aina ya boeing lazima u specify unazungumzia boeind series ipi. Je umeshawahi kupanda ndege .kama hujawahi kupanda ndege tafadhali usiandike habari kuhusu ndege
 
View attachment 406774[/QUOTE
Kweli watanzania hatuna akili mtu anakurupuka kuandika makala ya ndege wakati hajawahi kupanda ndege , Unapozungumzia boeing lazima u specify kwa sababu kuna series nyingi sana za boeing ,Sijui unalinganisha boieng ipi na bombardier
 
A330 airbus soon inatua Rwanda ndio wako ufaransa now kurudi kigali
IMG-20160926-WA0012.jpg
 
Tunaishukuru serekali ya Magufuli kwa kutuletea bodsboda za angani zitatuletea unafuu wa kuruka mkoa mmoja hadi mkoa mwingine.hii inaitwa mkoa kwa mkoa.
 
Maelezo mazuri, lakini mleta mada hakufanya utafiti wa kutosha. Mosi, base price ya Boeing 737 ni kati ya $51.5 million and $87 million, na sio $296 millions kama alivyosema.

Pili, umbali wa DAR-MWZ kwa ndege sio km1100, hiyo amepima kwa njia ya barabara ambapo inakua km kama 1145. Ndege zinakata zaidi robo ya umbali huo sababu hazizunguki kukwepa milima, mito na mambonde kama ilivyo kwa barabara. Umbali wa DAR-MWZ kwa ndege ni karibu km 850 tu.

Tatu, jinsi wanavyopima fuel efficiency ya ndege, wanaagalia idadi ya abiria wanaoweza kusafiri. i.e Bombardier inaweza kuwa inatumia mafuta kidogo, ila kwa idadi ya abiria inayoweza kubeba, na kwa umbali mrefu, utakuta fuel efficiency per passenger inakua ndogo kuliko Boeing 737 inayobeba abiria wengi. Mfano mzuri, kulingalisha unywaji wa mafuta wa gari ndogo na bus, utagundua basi linatumia mafuta mengi sababu lina engine kubwa. Ila nauli ya basi from DAR-MWZ ni ndogo saana ukilinganisha gharama ya kusafiri kwa gari ndogo.

So, kila ndege ina umuhimu wake. Kununua ndege ndogo sio justification ya kutokununua ndege kubwa. Kama huu ni mwanzo, its okay. Ila in the long run, airliner yeyote makini lazima iwe na ndege ndogo kwa short distance na ndege kubwa kwa safari ndefu.
 
Attachments

  • Fuel Efficiency.PNG
    Fuel Efficiency.PNG
    23.1 KB · Views: 43
  • fuel prices.PNG
    fuel prices.PNG
    8.9 KB · Views: 39
Wamekuchagua wenyewe Magu waonyeshe maujuzi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maneno ya Ney wamitego jamani co mimi
 
Wako seriously, hizo ndio flight za ukweli, serikali haibahatishi wala kujaribu
Hujui fotoshoping.veve?sisi tumewekeza zaidi kwenye ulinzi tunazo silaha za kisasa,sasa ndio tuna anza rasmi kwenye mapipa.
 
Huo ulinzi ulio ekezwa kwa ajili ya watawala ili waweze kutawala vizur, just imagine, tangaza tu kesho maandamano ya amani, utaona nini nje..
 
Virungu vya polisi tu munaviogopa,kama wasichana.
 
Ahsante kwa uchambuzi mzuri, lakin kwenye consumption ya mafuta umetia chumvi kidogo. ni kweli BOEING inatumia mafuta mengi kuliko BOMBARDIER lakin si kwa kiasi hicho.
kwa mfano, safari ya kutoka JNIA kwenda KIA, fastjet wanatumia 12,000,000/= ambayo ni aina ya boeing na precission air wanatumia takriban 3,000,000/= kwa safari hiyo hiyo (precission air nadhan inakaribiana na hizi za atcl kwa karibu sana katika consumption ya mafuta). tunaweza sema boeing inatumia mafuta mara nne ya bombaedier. mimi ni mdau wa mambo hayo hapa swisport, so nilichoandika nina uhakika nacho.

Ni kweli serikali imefanya busara sana kununua ndege hizi ambazo ni economical. acha watu waseme yao, ni wapinzani na ni jadi yao kupinga.
Fastjet ni Boeing? Acha me what I know ni Airbus maana nilishadumbukia twice na zimeandikwa hivyo
 
Achana na akili za kizamani mkuu. Marekani wanaotoa misaada duniani kote wanao ombaomba kwenye mitaa ya New York, Mississippi na Detroit. Kwanini hizo pesa wanazowapa mataifa mengine, wasiondoe kwanza shida za kawaida kabisa za raia wao?.
Unaelewa faida za nchi kuwa na shirika la ndege?. Stop being primitive my good friend.
Omba omba Wa Marekani si kivile most of all wanajitakia tu... Na tabia ya uvivu Wa Ntu na Ntu.. Marekani ni land of all opportunities so serikali haiwezi hudumia mvivu... Waende UK ndio wamezoeshwa
 
Tukitowa comments wapambe wake wana nuna tatizo [emoji40][emoji40][emoji40]
 
Back
Top Bottom