Mjadala kuhusu chanzo cha ulimwengu na maisha

Girland

JF-Expert Member
Jan 24, 2016
1,826
2,841
Imekuwepo mijadala mingi ya aina hii hapa JF,Kwa hiyo lengo la uzi huu ni kujadili hoja zitakazoletwa bila jazba na hivyo kupanua uwezo wa kujenga hoja.kuna makundi makubwa mawili duniani yaani wanaoamini uwepo wa Mungu(Theism) na imani ya kutokuwepo Mungu au uungu yaani (Atheism) Wote hawa wanakubaliana kuwa ulimwengu upo,hoja ya kwamba ulimwengu una chanzo au hauna umegawanya watu katika makundi matatu makuu hii ni kulingana na utafiti uliofanywa na David Foster Wallace na ninayaainisha kama ifuatavyo:

1.Kundi la kwanza linaamini ulimwengu umekuwepo na hauna chanzo chake yaani The universe has always existed and it has infinite past.

2.Kundi la pili hapa kuna wanasayansi wengi sana wanaamini kwamba ulimwengu ulitokea kutokana na mlipuko ambao haukusababishwa na kitu chochote yaani The universe was popped into existence from nothing with absolutely no cause rejea bigbang theory

3.Kundi la tatu linaamini kwamba ulimwengu ulisababishwa kuwepo na nguvu au kitu nje yake yaani The universe was caused to exist by something outside it.

Hapa ndio mwanzo wa kila ubishi uliopo kuhusu chanzo hivyo Great thinker unaamini kundi lipi liko sahihi?

Mimi na Theist wote tuko kundi namba tatu ,kundi la kwanza halina mashiko kwa sababu utafiti wa kisayansi uliofanyika mwanzoni mwa miaka ya 1960 ulionyesha kwamba kwa namna yoyote ile ulimwengu una chanzo chake,hivyo hoja kuwa umekuwepo haina mashiko.

Kuhusiana na atheist waliobaki wa kundi namba mbili kiranga sijajua uko 1 au 2 ?Hoja ya kwaamba ulimwengu una chanzo chake nakubaliana nalo lakini hoja kwamba "it popped into existence from nothing with absolutely,no cause"hainiingii akilini,ukiangalia ulimwengu huu ambao unajiendesha kwa namna ya kustaajabisha kuna "costants" nyingi sana na zingine zinazidi kugunduliwa na hazibaliliki hii inadhihirisha kwamba kulikuwa na being that caused that existence hata mtaalamu wa sayansi bwana Albert Einstain aliwahi kusema 'Every scientist becomes convinced that the law of nature manifest the existence ofa spirit.Vastly superior to that of man"
na alipoulizwa kuhusu kuwa atheist Einstein alisema 'I am not atheist and i don't think i can call myself an atheist;

HITIMISHO Hivyo mtu yoyote ana haki ya kuamini anachoona kinamfaa na mnisamehe kwa uandishi na makosa ya kiuandishi na pia kila mtu ajitokeze kutetea anachoamini na kujibiana kiustaarabu inaonyesha jinsi gani tumestaarabika.Naungana na Einstein na viongozi wa dini kuwa kundi la tatu.
 
OK. Ngoja niingie Chimbo kwanza but summary of my point ni kwamba GOD (MUNGU) ni Jina LA kiimani ambalo kisayansi ndiyo very small particle zilizohusika Kati Big Bang ya evolution of the universe. Nimejalibu kufatilia kuumbwa Kwa ulimwengu Kwa siku sita Kama vitabu vya ndini vinavyosema nikalingalisha na history ya geological evolution of the Earth nikaona matukia ya kutokea viumbe vilivyo hai na visivyo hai vinafanana Sana kimrorongo. Tofauti ni muda yaani ninaamanisha Kuwa Mungu aliposema ikawa usiku ikawa asubuhi Huku katika geology inachukua millions of years hilo tukio kukamilika. Nitarudi badae.
 
Imekuwepo mijadala mingi ya aina hii hapa JF,Kwa hiyo lengo la uzi huu ni kujadili hoja zitakazoletwa bila jazba na hivyo kupanua uwezo wa kujenga hoja.kuna makundi makubwa mawili duniani yaani wanaoamini uwepo wa Mungu(Theism) na imani ya kutokuwepo Mungu au uungu yaani (Atheism) Wote hawa wanakubaliana kuwa ulimwengu upo,hoja ya kwamba ulimwengu una chanzo au hauna umegawanya watu katika makundi matatu makuu hii ni kulingana na utafiti uliofanywa na David Foster Wallace na ninayaainisha kama ifuatavyo:

1.Kundi la kwanza linaamini ulimwengu umekuwepo na hauna chanzo chake yaani The universe has always existed and it has infinite past.

2.Kundi la pili hapa kuna wanasayansi wengi sana wanaamini kwamba ulimwengu ulitokea kutokana na mlipuko ambao haukusababishwa na kitu chochote yaani The universe was popped into existence from nothing with absolutely no cause rejea bigbang theory

3.Kundi la tatu linaamini kwamba ulimwengu ulisababishwa kuwepo na nguvu au kitu nje yake yaani The universe was caused to exist by something outside it.

Hapa ndio mwanzo wa kila ubishi uliopo kuhusu chanzo hivyo Great thinker unaamini kundi lipi liko sahihi?

Mimi na Theist wote tuko kundi namba tatu ,kundi la kwanza halina mashiko kwa sababu utafiti wa kisayansi uliofanyika mwanzoni mwa miaka ya 1960 ulionyesha kwamba kwa namna yoyote ile ulimwengu una chanzo chake,hivyo hoja kuwa umekuwepo haina mashiko.

Kuhusiana na atheist waliobaki wa kundi namba mbili kiranga sijajua uko 1 au 2 ?Hoja ya kwaamba ulimwengu una chanzo chake nakubaliana nalo lakini hoja kwamba "it popped into existence from nothing with absolutely,no cause"hainiingii akilini,ukiangalia ulimwengu huu ambao unajiendesha kwa namna ya kustaajabisha kuna "costants" nyingi sana na zingine zinazidi kugunduliwa na hazibaliliki hii inadhihirisha kwamba kulikuwa na being that caused that existence hata mtaalamu wa sayansi bwana Albert Einstain aliwahi kusema 'Every scientist becomes convinced that the law of nature manifest the existence ofa spirit.Vastly superior to that of man"
na alipoulizwa kuhusu kuwa atheist Einstein alisema 'I am not atheist and i don't think i can call myself an atheist;

HITIMISHO Hivyo mtu yoyote ana haki ya kuamini anachoona kinamfaa na mnisamehe kwa uandishi na makosa ya kiuandishi na pia kila mtu ajitokeze kutetea anachoamini na kujibiana kiustaarabu inaonyesha jinsi gani tumestaarabika.Naungana na Einstein na viongozi wa dini kuwa kundi la tatu.
Usiumize kichwa.Chanzo ni Mungu.
 
Ona ulivyo muoga na muongo jaribu kutumia ubongo wako vizuri hakuna kitu complex kisicho na mwanzo mkuu acha kuibiwa pesa na wachungaji shtuka utoke kwenye kungu la ujinga
“Alfa na Omega” ni Yehova Mungu, Mweza-Yote. Maneno hayo yanapatikana mara tatu katika Biblia.—Ufunuo 1:8; 21:6; 22:13.

Kwa maneo mengine Mungu ni mwanzo na mwisho.Tumia akili yako kujaribu kugundua dawa ya ukimwi na saratani.Ukitaka kumchunguza Mungu utarukwa na akili uingie wazimu.Trust me!
 
Ona ulivyo muoga na muongo jaribu kutumia ubongo wako vizuri hakuna kitu complex kisicho na mwanzo mkuu acha kuibiwa pesa na wachungaji shtuka utoke kwenye kungu la ujinga
Mimi ni BUDHAA. Sidanganyiki na hila zako.Nitaendelea kufanya ibada na kuamini uwepo wa MUNGU mpaka mwisho.
 
Back
Top Bottom