Hivi katika masharti ya kujiunga na JF hamna age limit? Manake wengine humu might be underage
Haya tena Wadau, naona kumekucha kuhusu Babu. Msomeni huyu Jenerali Ulimwengu kuhusu huyo Babu – anaonekana ana wasiwasi naye sana – lakini atoa sababu zake!
Yes we have faith... but placing it wholesale on a bush healer's beyond being gullible
By JENERALI ULIMWENGU
Why does this bush scientist refuse his drug to undergo lab testing?
More curious was a plea from his assistant to the government for urgent steps to be taken to improve sanitation in the area to avert a disease outbreak caused by the uncontrolled human press. How could anyone with the powers to cure diabetes and HIV/Aids be worried about dysentery?
namuunga mkono Jenerari,huo upuuzi wa mganga wa loliondo ni sawa na DECI,watu tuliwaambia hapo nyuma DECI ni utapeli watu hawakusikia,inashangaza sana tena sana katika hizi zama za maendeleo watu wazima na akili zao wanadanganyika eti na miujiza ya dawa ya Loliondo,na kwa ujinga huo hata serikali nayo imeingia mkenge wa kumruhusu huyo mzee tapeli eti aendeleze tiba,jamani si hapo nyuma serikali ilipiga marufuku hayo mambo ya waganga wa kienyeji.Jamani msiwe wajinga hakuna dawa inyotibu ukimwi au kisukari hivi sasa ,dawa ni kufuata masharti.
Pamoja na heshima zote nilizonazo kwa Ulimwengu, nachelea kusema haya ni maswali mepesi kuulizwa naye.Majibu ni kama ifuatavyo
1.Amekataa isiwe tested katika lab sababu hiyo siyo scientific medicine...nadhani unajua huwezi kuprove that God ana-exist in the lab
2.Hata kama dawa yake inatibu Ukimwi au Diabates ambayo ni magonjwa makubwa, siyo sahihi kusema basi watu wasichukue tahadhari ya kupata magonjwa mengine kama kipindupindu.....ni sawa sawa kama wewe uwe na dawa ya Malaria ndani basi ulale tu bila chandarua au bila kuchukua tahadhari yeyote ya kuumwa Malaria sababu dawa ipo
In general, kwa sababu ulizotumia nashindwa kuungana nawe katika doubts zako...
How could anyone with the powers to cure diabetes and HIV/Aids be worried about dysentery?
Amka wewe acha ushabiki usio na maana. Inaelekea hata DECI ulitetea hivyoX2.Mi nawaambia mkatae msikatae mkubali msikubali kwa macho yangu nimeona waliooenda kwa babu wamepona hao ni watu kadhaa na walikuwa na magonjwa unayoyaona kwa macho.
Hata DECI si ilitoka kwa bwana na tumeona hatma yake. Ukweli utajionyeshe siku za usoni na mtakimbia nyote humu kwa kuamini mazingaombwe.Hana anayempotosha, ukisoma jina lake tu hapo chini unaelewa ndo wale waleeee, wanaokwendaga kwenye mihadhara kutukana dini za wenzao. Hana ajualo wala analoelewa. Baba mwenye nyumba mwenyewe kakimbilia huko na keshapata dozi, kamuulize. Looh! Watu wengine wadhani kuandika saaaaanaaaa kurasa kitabu ndo tutakubali hadithi yako iliyojaa udini na kutoelewa usemacho??? Toka lini Muislamu ukayajua ya Ukristo kama sio kutaka kuleta upupu tu hapa ukumbini??? Acha niishie hapa nisiendelee maana.... :smash:
Kama limetoka kwa Bwana hata uje na nguvu gani hutaweza kulizuia na waliokusudiwa watapata baraka zao. Kalagabaho!
We ndo umeweka wazi leo. Kumbe ni mbinu ya kutafuta mchango wa kanisa humo humo? Kuhusu wakenya kwenda pale sio sababu ya kuamini. Wanaoenda Nigeria kny mazingaombwe huku wakimsingizia M.Mungu ndo anapona nao tuseme kweli? Amkeni nyie duh mmelogwaaa??Watashuhudia lakini bado hawatasadiki!Huu uponyaji ni wa kiimani zaidi,it cant be proved scientifically!Maono ya kibinadamu hayawezi kufikia maono ya muumba wao.Sumu kwa maono ya binadamu,mungu kasema iwe dawa na imekuwa!Kwa wasioamini ni kweli ile ni abrakadra kwao lakini wanaoamini ile ni tiba na wengi wamepona!Sio kazi ya kila aliyepona kumtafuta mtu kama Magid na kumshuhudia.Unaweza ukalaumu watanzania wanafata sana mkumbo,lakini vipi kuhusu watu wa mataifa mbalimbali wanavyomiminika kupata tiba Loliondo?Unaweza ukaita unabii wa uongo,lakini manabii wa uongo hutumia jina la mungu kupata mali(rejea yule wa mwenge).Huyu babu wala hanufaiki na hii tiba.Anauza 500,kati ya hizo sh.200 inaenda kanisani, sh.200 inaenda kwenye mfuko wa maendeleo ya kijiji na yeye mwenyewe anabaki na sh.100!Kweli huyu nae mwizi?Msioamini bakini na msimamo wenu.Msiwashawishi wengine hata kwa kutumia peni zenu.Acheni wanaoamini wapone!
Hata DECI si ilitoka kwa bwana na tumeona hatma yake. Ukweli utajionyeshe siku za usoni na mtakimbia nyote humu kwa kuamini mazingaombwe.