Mjadala: Kipi bora kati ya kwenda Chuo au Advance Level (Kidato cha Tano na cha sita) kwa mwanafuzi aliyemaliza Kidato cha Nne?

Kwa sasa nenda Advanve kwanza wakat unasubiri matokeo ya chuo. Ukichaguliwa chuo ndo uache Advance maana unaweza kupoteza vyote! Pia kubadikisha combi kutoka EGM kwenda PCB inawezekana sana hata mimi nillibadilishaga cha msingi hiyo combi unayoitaka iwepo hapo shuleni. Work on this plz

Tatizo shule yenyewe haina pcb
 
Kuuliza tu hili swali...wewe una akili....KASOME CHUO....Ukimaliza tofauti na f.6 wewe utakuwa na skills za kuweza kuajiriwa lakini pia with a diploma utaingia kwenye kundi la wenye sifa ya kuitwa mwanataaluma yaani Professional kwa kimombo....faida nyingine utakayoipata ni kubobea ktk fani utakayoichagua hivyo kukupa fursa ya kufaulu saana degree yako kwa kuwa mengi utakayoyasoma kwenye diploma ndio hayo hayo, yanayoongezeka kwenye degree ni machache mno!
 
Thanks much mkuu
 
Ingekuwa watanzania wengi wana mawazo kama yako, nchi yetu ingekuwa na maendeleo makubwa sana. ushauri wangu kasome chuo hujojutia maamuzi zako. na mungu akutangulie katika huu mpango wako.
 
Ukitaka kuwasikia hao nenda muhimbili utawapata wapo wengi sana.

Kama wewe ulishachangia mawazo yako sidhan kama kuna haja ya kuropoka namna iyo ...me nataka mawazo ya watu tofauti ili nilinganishe na wala sijakulazimisha uendelee kunishaur ..kama hujiskii kwan kuna MTU kakushikia fimbo? ...jaman hebu tuwen wastaarabu..eeee!
 
kwa hayo matokea chuo utapata tu hakuna shaka. PCB advance sio mchezo, kifupi ni ngumu. Ili ufaulu na kudeserve kusomea MD ni lazima uwe na distinction au merit kwa baadhi ya vyuo kama KIU, IMTU au st.francis, kuipata hiyo ni lazima uwe unajiweza kweli kiakili na juhudi kubwa.
 
kwa hayo matokea chuo utapata tu hakuna shaka.
PCB advance sio mchezo, kifupi ni ngumu. Ili ufaulu na kudeserve kusomea MD ni lazima uwe na distinction au merit kwa baadhi ya vyuo kama KIU, IMTU au st.francis, kuipata hiyo ni lazima uwe unajiweza kweli kiakili na juhudi kubwa.

Thanks mkuu
 
Mimi ni mwanafunzi nimemalza form four mwaka na nana uhakka wa kufaulu bt npo njia panda kwa kuwa naambiwa na watu advance ngumu na rahs kufel kwa comb sayns na pia nna mpango niende vyuo vya afya i mean clnicor officer je kip bora kati ya hzo option mbl
 
Back
Top Bottom