Mjadala: Kipi bora kati ya kwenda Chuo au Advance Level (Kidato cha Tano na cha sita) kwa mwanafuzi aliyemaliza Kidato cha Nne?

komaa na Advnce, achana chuo utapoteza hela zako bure halafu elimu yenyewe diploma, piga kitabu advance kwa sababu ukimaliza utaenda degree direct na utasoma kilaini maana kutakuwa na mkopo.
 
Nenda chuo kijana, ukitoka hapo unaweza ukafanya kazi ya profession yako au utakayopendezewa nayo.

Au unaweza ukaunga bachelor degree moja kwa moja
na mkopo kama kawaida unapata.
 
Nenda Chuo advance unapoteza muda cz husomei ujuzi wowote ule...lakini Kama Una ndoto za kua General doctor basi nenda form 6 PCB.
 
kijana kwa nini... huna malengo!?, kumbuka anayekuchagulia kazi si anayefanya kazi ila ni wewe, jitafakari, fanya utafiti ujue kwa nini kuna diploma na High School
 
Mm ni mwanafunz nimemalza form four mwaka na nana uhakka wa kufaulu bt npo njia panda kwa kuwa naambiwa na watu advance ngumu na rahs kufel kwa comb sayns na pia nna mpango niende vyuo vya afya i mean clnicor officer je kip bora kati ya hzo option mbl
Mdogo wangu ushauri ninaokupa njoo chuo either afya ya binadamu au ya wanyama we njoo mi nipo chuo cha mifugo nimeona uzuri wa chuo haina haja ya kukesha njo ufaidi elimu kwa vitendo sawa?

Ushauri ndo huo
 
Jaman jf nmelkuwa mgen bt uandsh co kpmo cha uwezo ninachoomba n ushaur

Kiukweli huu uandishi huwa unawakwaza wengi, hasa ukizingatia humu jukwaani kuna watu wa rika tofautitofauti.

Andika vizuri ili upate ushauri mzuri zaidi mdogo wangu...
 
Nenda chuo ila baadae usije kulalamika kuwa watu wa NACTE tunabaguliwa,sijui hatupewi mkopo etc
 
Kama unandoto za udaktari baadae nenda chuo, mimi nimemaliza uhasibu SAUT na nimesoma science adv. Faida.

Kwanza unasomeshwa na serikali kozi za afya utachangia kidogo sana, pili hauna risk ya kupoteza future yako na kuja kuwa mwalimu si unajua kazi ya TCU au kufeli kabisa na kuanza na Cheti, tatu ukiomba TCU kuendelea baada ya Dip hautapelekwa kozi yoyote eti kisa vyuo vimejaa na ufaulu wa science mwaka huu upo juu bali lazima wewe upate nafasi ya kusomea udaktari.

kwanza tofauti na flesher na utashuhudia fleshers wanavyoenda biashara wakati wewe na mkopo utapata licha ya wao kusoma science.

Angalizo: usipofaulu phy, chem na Bios olevel kwa kuanzia kiwango cha C poteza ndoto za degree ya udaktari bali ukimaliza Dip ya CO utaweza kuendelea na kada nyingine za kiafya kwa ngazi za juu ila siyo MD.mengine mengi tu sifahamu endelea kutafuta msaada zaidi
 
Nenda Chuo advance unapoteza muda cz husomei ujuzi wowote ule...lakini Kama Una ndoto za kua General doctor basi nenda form 6 PCB.

Ukienda chuo ukiwa umemaliza form IV utasoma certificate ya clinical medicine mwaka 1, then utafanya diploma miaka 2. Baada ya hapo ndio utakuwa eligible kufanya degree of medicine.

Ukimaliza degree utakuwa general doctor tu sawa na huyu aliyesoma miaka 2 ya advanced halafu akaenda degree. Uzuri wa kufanya advanced unapata motivation ya kwenda degree haraka.
 
kama akili yako naiona vileee!!!..,hujui hats spelling za clinical officer??..,
Bado unaamini kufahulu???
asee elimu imeingiliwa,

Dogo hata CO unayoropoka madesa yake usidhani ya kitoto na kuwa utapita ovyo ovyo!!!

We subir matokeo yakija vzr endelea na advance usije kuharibu mamilioni ya babako chuoni na ukaishia disco.
 
kama akili yako naiona vileee!!!..,hujui hats spelling za clinical officer??..,
Bado unaamini kufahulu???
asee elimu imeingiliwa,

Dogo hata CO unayoropoka madesa yake usidhani ya kitoto na kuwa utapita ovyo ovyo!!!

We subir matokeo yakija vzr endelea na advance usije kuharibu mamilioni ya babako chuoni na ukaishia disco.

majungu yote ya nini jamani nimeshasema usiangalia uandishi wa mtu na kujua uwezo wake cha msingi naomba kunifumbua macho mdogo wenu ili nijue wapi pa kuelekea
 
Habarini wakuu,

Nimekuja mbele yenu kuomba ushauri kwa hili.

Mimi ni muhitimu wa kidato cha 4 2015, posti zimetoka na nimepangiwa HGK. Hapo hapo nilisha apply Chuo Kozi ya Clinical Medicine. Je, niende Advance au nisubiri posti za Chuo?

Matokeo yangu yalikuwa hivi: Phy D, Chem C, Bios B, Hist C, Geo C, Kisw C, Eng C, Civ D, Math F.

Wasiwasi wangu nahofia kutokuchaguliwa chuo. Je, nifanyaje??

Nawasilisha kwenu wakuu.
 
Kulingana na TAMISEMI wanasema kwamba deadline ya kuripoti chuoni ni 24/07/ sasa unaweza kuchelewa kidogo kuripoti shuleni ili uone NACTE itakuwaje.

Ila kwa ushauri wangu ukipata chuo nenda bila hata kuuliza kuliko kwenda kusoma comb mzigo ambayo hauwez kuajiliwa wala kujiajili mwenyewe katika huu ulimwengu wa technolojia. Achana nayo hiyo haifai na haitafaa hadi mwisho wa dunia hii.
 
Back
Top Bottom