Mjadala: Kipi bora kati ya kwenda Chuo au Advance Level (Kidato cha Tano na cha sita) kwa mwanafuzi aliyemaliza Kidato cha Nne?

Mimi naona form6 ni shortcut unless umefail(div1. 3-6), wanangu tuliomaliza form 4 wote wakaend clinical medicine direct sasahivi nimeshawa-bypass,nampango, nasikilizia majibu ya appl za vyuo zinatoka 25th mwezi huu...😊
Wewe unasubiri majibu ya application za Chuo, madogo gani tena unawashauri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom