Inawezekana lkn hapo inaonesha unaongozwa na nguvu ingine sio uamuzi wako, duniani kote mtu hawi mahiri kwa vitu viwili, lazima ubobee kitu kimoja na udumu kukifanya. Kwahiyo fanya uamuzi kwa utulivu, ukiamua IT bobea kwenye IT na ukihitaji afya bobea kwenye afya.Ahsabte kaka
nimekuelew je naweza kuchukua dr then nikarud kuchukua IT?
Sio kuchukua ni unakwenda kuitafuta moto wake sio mchezoYani izi lugha za mtaani bwana eti Nipo Mzumbe pale au UD nachukua Digrii ya......Unachukua??? unachukuaje yani kwa mfano
Kama utafaulu viziri nenda Chuo kachukue fani yako mapemaa unganisha degree badae Kama ukikosa degree unaingia mtaani unakula hela....mim nilianzia certificate nikaingia kazini ....sasa nachukua degree kiulainiiii baada ya kupitia diplomaNaombeni ushauri namaliza 4m 4 mwaka uu he no bora niende a level or chuo PCB
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombeni ushauri namaliza 4m 4 mwaka uu he no bora niende a level or chuo PCB
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa advance kuna concepts gani za kisayansi, afya kilimo etc ukilinganisha na chuo???dogo mm staki mm staki wewe ukariri nenda advance ukupate scientific concept zitakazoweza uwende deep kwenye field za afya, kilimo, mifugo, uhandisi form four chuo utakaririshwa tu maana maarifa nimakubwa mda wakusoma unaingiliwa ili kurahisisha wepita advance japo kua wengi watasema kupoteza mda ila kwa sababu wengi huwa wapo shuleni ili waende chuo ila sio wakusanye taarifa kwa sisi ndo tulivyo matamanio yetu ni kazi ila mm nakushauri Kama unataka kujiongoza mwenyewe science itakusaidi Sana Kama utaisoma kwa kuelewa kwenye nyanja nyingi Sana ha
Huyo angejua Kuna diploma za kisomi mfano IB DIPLOMA YA PALE ISM-MOSHI,IST -DSM Na ma to wengi waliachana Na advance wakapiga diploma Na wako ulaya nw.....et unapanua uelewa wa nin?Sasa advance kuna concepts gani za kisayansi, afya kilimo etc ukilinganisha na chuo???
Au mkifanya dissection ya mende ndio mnajiona mshakuwa masurgeons ???
Ukisoma mechanics ndio ushapata concepts za engineering??
Dogo nenda chuo kasome diploma ya Clinical medicine achana na PCB, advance kwa miaka hii unaitaji ukapige shule kwel at least div 1.7 hapo unakuwa na uhakika wa kusoma MD.Naombeni ushauri namaliza 4m 4 mwaka uu he no bora niende a level or chuo PCB
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kijana nilimshauri apige diploma ya ClinicalMedicine akaona namzingua. Akaenda A'level akakomaa kweli akatoka na div 1.8.Dogo nenda chuo kasome diploma ya Clinical medicine achana na PCB, advance kwa miaka hii unaitaji ukapige shule kwel at least div 1.7 hapo unakuwa na uhakika wa kusoma MD...
Angalia sikuizi watu wanaoajiriwa wengi ni wa cheti na diploma degree ni kwa manati sanaKuwa na ujuzi Ni sahihi kabisa.wigo wa jira nakukatalia maana wengi wana kuona kama sio msomi
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kama unazungumzia ualimuNi kweli ila unakuta mtu aliyesoma diploma akifika chuo anaanza kusumbua watu waliopitia advance kupigiwa mapindi ya math( e.g differential calculus) kwahyo angalia na impact kama watu wote wakipitia diploma nani atawasaidia kuwakatia mapindi. Kwahyo kila mtu afate njia ambayo anaona sahihi na anaiweza pia