Patiee
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 474
- 717
Dogo unapenda maswala ya Info Tech. Acha kusukumwa na presha za watu na kufata mikumbo. Ukiamua kuingia kwenye maswala ya afya ni ujitoe kweli kweli,msuli si wa kitoto kule.
Binafsi nilisoma PCB , sasa nipo kwenye fani ya IT nami pia nilikuwa na ndoto za kuwa daktari.Kama kweli unapenda maswala ya afya nenda chuo kakomae kweli kweli, Kwa A level Ile ni gambling.