Mjadala: Kipi bora kati ya kwenda Chuo au Advance Level (Kidato cha Tano na cha sita) kwa mwanafuzi aliyemaliza Kidato cha Nne?

Dogo unapenda maswala ya Info Tech. Acha kusukumwa na presha za watu na kufata mikumbo. Ukiamua kuingia kwenye maswala ya afya ni ujitoe kweli kweli,msuli si wa kitoto kule.

Binafsi nilisoma PCB , sasa nipo kwenye fani ya IT nami pia nilikuwa na ndoto za kuwa daktari.Kama kweli unapenda maswala ya afya nenda chuo kakomae kweli kweli, Kwa A level Ile ni gambling.
 
Yani izi lugha za mtaani bwana eti Nipo Mzumbe pale au UD nachukua Digrii ya......Unachukua??? unachukuaje yani kwa mfano
 
Wisdom Flag, Kwa upepo ulivyo bongo land kwa sasa sikushauri uende advance tafuta kozi nzuri za afya ambazo zpo sokoni kwa sasa kama vile pharmacy, med lab,optometry, nursing nk ni bora zaidi na hutojuta maamuzi yako hayo mambo ya advance waachie watoto wa waheshimiwa


Shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsabte kaka
nimekuelew je naweza kuchukua dr then nikarud kuchukua IT?
Inawezekana lkn hapo inaonesha unaongozwa na nguvu ingine sio uamuzi wako, duniani kote mtu hawi mahiri kwa vitu viwili, lazima ubobee kitu kimoja na udumu kukifanya. Kwahiyo fanya uamuzi kwa utulivu, ukiamua IT bobea kwenye IT na ukihitaji afya bobea kwenye afya.

Pia usitaraji kwamba utatoka na dipDipl ya medicine alafu ukachukue degree ya IT, Labda ukachukue tena diploma tofauti au uchukue degree ya doctor of medicine then ukasome post graduate diploma ya maswala ya IT ila huko kutakuwa kukosa focus na maisha.
 
Kwa swala la kusomea MD kupitia advance ni kimbembe sana..kati ya wanafunzi 60 wa PCB katika shule niliyotoka mwaka jana ni mmoja tu ndo alifanikiwa kuchaguliwa kusomea MD muhimbili maana inatakiwa biology uperfom vizur(B au A) ushindan ni mkubwa. Kama una uhakika utaweza kufaulu vizur unaweza ukaenda advance.
 
Naombeni ushauri namaliza 4m 4 mwaka uu he no bora niende a level or chuo PCB

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama unataka program za afya usiende advance, Mimi nilipataga div 1 advance + O level nikaishia kutemwa chuo

Nikaenda kusoma program ya ajab ajab (education)

Toka first year mpaka nimemaliza chuo likizo zote huwaga naenda shule Fulani hivi kupigisha pindi

Darasa la PCB kila mwaka huwa approximately 100 ila huwaga hawazidi watu watatu ambao huenda program za afya japo division one zinakuwepo zaidi ya hizo 3
 
dogo mm staki mm staki wewe ukariri nenda advance ukupate scientific concept zitakazoweza uwende deep kwenye field za afya, kilimo, mifugo, uhandisi form four chuo utakaririshwa tu maana maarifa nimakubwa mda wakusoma unaingiliwa ili kurahisisha wepita advance japo kua wengi watasema kupoteza mda ila kwa sababu wengi huwa wapo shuleni ili waende chuo ila sio wakusanye taarifa kwa sisi ndo tulivyo matamanio yetu ni kazi ila mm nakushauri Kama unataka kujiongoza mwenyewe science itakusaidi Sana Kama utaisoma kwa kuelewa kwenye nyanja nyingi Sana ha
Sasa advance kuna concepts gani za kisayansi, afya kilimo etc ukilinganisha na chuo???

Au mkifanya dissection ya mende ndio mnajiona mshakuwa masurgeons ???

Ukisoma mechanics ndio ushapata concepts za engineering??
 
Sasa advance kuna concepts gani za kisayansi, afya kilimo etc ukilinganisha na chuo???

Au mkifanya dissection ya mende ndio mnajiona mshakuwa masurgeons ???

Ukisoma mechanics ndio ushapata concepts za engineering??
Huyo angejua Kuna diploma za kisomi mfano IB DIPLOMA YA PALE ISM-MOSHI,IST -DSM Na ma to wengi waliachana Na advance wakapiga diploma Na wako ulaya nw.....et unapanua uelewa wa nin?

Pata fani yako piga kazi....kwenye kazi ndo hela upo sio bla bla sijui nimesomeaga wapi na mfumo gani nimepitia ya nin?

Mimi nachopenda diploma unachagua fani yako uipendayo mapemaa unaisomea kwa hyo pale unasomea KAZI
 
Naombeni ushauri namaliza 4m 4 mwaka uu he no bora niende a level or chuo PCB

Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo nenda chuo kasome diploma ya Clinical medicine achana na PCB, advance kwa miaka hii unaitaji ukapige shule kwel at least div 1.7 hapo unakuwa na uhakika wa kusoma MD.
Halaf pia ukisoma diploma unakuwa vzr na Carrier yako huko mbeleni, mfano nimesoma MD na watu waliopitia diploma wapo vizuri kuliko sisi tuliopitia form 6!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo nenda chuo kasome diploma ya Clinical medicine achana na PCB, advance kwa miaka hii unaitaji ukapige shule kwel at least div 1.7 hapo unakuwa na uhakika wa kusoma MD...
Kuna kijana nilimshauri apige diploma ya ClinicalMedicine akaona namzingua. Akaenda A'level akakomaa kweli akatoka na div 1.8.

Alipambana kupata MD ikashindikana. Juzi kati nimekutana naye ndo anakumbuka ushauri wangu. Anakumbuka hadi pozi tulilokuwa tumekaa nilipokuwa namshauri.

Kimsingi naona diploma ni njia nzuri sana kuanza kuijenga career yako kuliko A'level. Na maisha ya utafutaji yanaanza mapema

SUKAH
 
Kusoma Astashahada, Stashahada ukaunganisha Shahada inafaida sana kuliko kusoma advance ukaenda Shahada

Moja: Unakua na ujuzi zaidi.
Pili: Unakua na wigo mpana wa ajira

Kwa nionavyo Mimi bora ukamshauri mwanao kupitia njia ya Astashahada kuliko form six
 
Ni kweli ila unakuta mtu aliyesoma diploma akifika chuo anaanza kusumbua watu waliopitia advance kupigiwa mapindi ya math (e.g differential calculus).

Kwahyo angalia na impact kama watu wote wakipitia diploma nani atawasaidia kuwakatia mapindi. Kwahyo kila mtu afate njia ambayo anaona sahihi na anaiweza pia
 
Labda kama unazungum
Ni kweli ila unakuta mtu aliyesoma diploma akifika chuo anaanza kusumbua watu waliopitia advance kupigiwa mapindi ya math( e.g differential calculus) kwahyo angalia na impact kama watu wote wakipitia diploma nani atawasaidia kuwakatia mapindi. Kwahyo kila mtu afate njia ambayo anaona sahihi na anaiweza pia
Labda kama unazungumzia ualimu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom