Nataka nijichange ninunue sinoray 250 cc kwa ajili ya matumizi binafsi shida isionekane kama bodaboda msaada anaejua ulaji wake wa mafuta na uzuri wa pikipiki yenyewe
Mafuta kwenye pikipik hutakiwi kuhofia hata kidogo hiyo cc 250 ya Mchina isikutishe, uzuri wake lipo juu juu comfortable miguu haijikunji sana. Pipiki ndefu changamoto ni kwenye resale ikichoka hata kdogo, ukitaka kuiuza utauza Kwa Bei ya kutupa sana coz hayana wateja wengi, hayauziki. Nunua tu
Nataka nijichange ninunue sinoray 250 cc kwa ajili ya matumizi binafsi shida isionekane kama bodaboda msaada anaejua ulaji wake wa mafuta na uzuri wa pikipiki yenyewe