GIPAMA
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 1,103
- 541
Acha kudanganya watuBhasi tegemea wa Kikee...!! Ungetaka wa kiume ungewahi siku moja kabla ya Ovulation..
Acha kudanganya watuBhasi tegemea wa Kikee...!! Ungetaka wa kiume ungewahi siku moja kabla ya Ovulation..
Acha kudanganya watu
Mkuu nimekuelewa sana,Ila nadhani kwa hiyo theory ya siku 14 ambayo ni kwa mwanamke wa siku 28.Very theoretical..kusema siku ya 14 +/-3 ni biology ya form three! Human is not a book guys! Hizo ni hesabu kwa wanawake wenye mzunguko wa siku 28 tu!
Kumbuka kuna wadada/wamama wenye cycle kuanzia siku 21 - 35, so kwa vyovyote vile hiyo hisabati ya hapo juu hai-apply kwa wanawake wote..lakini pia hata the same woman, cycle yake sio constant; kuna wakati anazidisha au anapungua siku moja pengine hata siku mbili..
Lakini pia kuna uwezekano wa sperms kuishi hadi siku 7 kwenye kizazi cha mwanamke,kwa hiyo kusema siku za hatari kwa mwanamke kuna factors nyingi, not just by numbering days!
Kilaza hujajibu ulichoulizwa. Kama hujui piga kimya unadhani kila mtu nikama Dada zko.Ulichepuka ,, tulieni Dada zangu umeona sasa unajitatiza mwenyewe hapo
Usipanic Dada yangu ,,Kilaza hujajibu ulichoulizwa. Kama hujui piga kimya unadhani kila mtu nikama Dada zko.
hahaa mkuu ila akipata si upo tayari kulea?Hili somo sijawai kulielewa. Akishika mimba shauri yake
Mkuu, mm sio mtoto. Mwanamke nitakae mpa mimba ndo huyo huyo namuoa. Na mtoto nalea wala sio shida.
Tulio katika ndoa tunaiita SIKU YA NEEMA.Hivi ni sawa kuiita siku ya HATARI kupata mimba au siku IFAAYO kupata mimba. Ni tafakuri yangu tu maana nimesikia wengi wanasema ni siku ya HATARI
Sent using Jamii Forums mobile app