Mjadala: Je, ni siku zipi ambazo mwanamke huweza kupata ujauzito katika mzunguko wake wa kila mwezi?

Siku ya 14 tu toka period ndo ovulation day ila ina inategemea kuanzia 12 mpaka 15
 
Pamoja na tarehe na mahesabu utakayopewa mi nakuhusia tu usikariri hao viumbe huingia kwenye siku zao hata akipokea meseji ya kukumbushwa mchango wa vikoba!!
 
Bila kondom mkuu kavukavu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
images.jpg
kazi njema
 
Back
Top Bottom