Mjadala: Je, ni siku zipi ambazo mwanamke huweza kupata ujauzito katika mzunguko wake wa kila mwezi?

Wakuu ningependa kujua ni siku gani hatar kwa mwanamke kupata mimba kuanzia siku ya kwanza ya kubleed,.Mfano: kama ameingia hedhi mwez wa 5 tarehe 26, na mwezi wa 6 tarehe 25,Je siku yake/zake hatari za kushika mimba ni zipi/lini? Naomba Msaada wenu Wakuu?
 
Kama ndo yupo hapo jirani kalala na wewe unakula timing ukisubiri jibu ule mzigo, ningeshauri ulale tu mzigo utakula ukishapata jibu fresh.
 
haaa km nakuona unavoshawishika na kanga ya shemela wetu ukiwa akililegeza uku yupo usingizini
 
Ukiona unaangaika kujua siku za hatari za mwanamke ujue tayari ushasababisha unatafuta pa kutokea...

Cc: mahondaw
 
Wakuu ningependa kujua ni siku gani hatar kwa mwanamke kupata mimba kuanzia siku ya kwanza ya kubleed,.Mfano: kama ameingia hedhi mwez wa 5 tarehe 26, na mwezi wa 6 tarehe 25,Je siku yake/zake hatari za kushika mimba ni zipi/lini? Naomba Msaada wenu Wakuu?
Hedhi kaingia tar 26/5 na nyingine tar 25/6, mzunguko wake mbona utakua ni wa siku 31(utaanza kuhesabu 26/5 kama siku ya kwanza mpk 26/6 kama siku ya mwisho). Kama ni cycle ya siku 31, ovulation day itakua siku ya 17 hivyo siku za hatari zinaweza ku range 14-19.
 
Kama Mzunguko wake siyo wa siku 28 itakuwa shida sana..
kama huwa anaingia kwenye tareh 25 kwa 26 itakuwaje,pia mm cjui kuhusu mzunguko nngependa nijue mfano kama ameanza kubleed tareh 25 AF zmekata baada ya cku nne hapo cku gan nikigusa nakuwa baba kijacho?
 
Hedhi kaingia tar 26/5 na nyingine tar 25/6, mzunguko wake mbona utakua ni wa siku 31(utaanza kuhesabu 26/5 kama siku ya kwanza mpk 26/6 kama siku ya mwisho). Kama ni cycle ya siku 31, ovulation day itakua siku ya 16 hivyo siku za hatari zinaweza ku range 14-19.
google mm hvyo nashindwaga elewa kujua huu ni mzunguko wa cku 28 au 31, ningependa kujua kwa urahic,mfano ameanza kubleed tareh 25 mwez 6 na zkakata tarehe 28 hapo cku gan nikigusa nakuwa baba kijacho?
 
Hapo huwezi kujua ni siku gani ukigusa kwa sababu hapo bado hujajua mzunguko wake ukoje, ili ujue siku gani safe ni lazima ujue her complete menstrual cycle.

Mfano mwenye mzunguko wa siku 22, siku ya 8 ndio ovulation hivyo kuanzia siku ya 6-11 unatakiwa usiende peku peku unless labda unatafuta mtoto. While mwenye mzunguko wa siku 28 hiyo siku ya 8 ni safe day kwa sababu ovulation ni siku ya 14 hivyo siku zake za hatari zita range 11-17.

Pia ukiangalia mwenye mzunguko wa siku 35 siku ya ovulation ni ya 21 hivyo balaa lita range 18-24, wakati kwa mwenye mzunguko wa 28 hizi ni safe days kwake. Ni kweli haya mambo yanachanganya lakini ili ujue siku safe za mwenza wako ni lazima ujue mzunguko wake vizuri ni wa siku ngapi. Kama cycle yake haiko constant ni changamoto sana
 
Back
Top Bottom