Mjadala: Je, ni kwanini gari hupoteza nguvu? Je, unawezaje kutatua tatizo hili?

Mkuu kote huko pamechekiwa, hakuna Shida!
may be kuna lead ambayo inaleak umeme. nina maana katika nyaya n zinazopeleka umeme kwa jili ya combustion unapfunga bonet kuna kugusana hivyo inafanya earth nas hivyo kuwa na shida lakini machine inegeliona hilo. duhhh
 
Jaribu kutembea na hiyo gari boneti ikiwa wazi au itoe kabisa ikiwa na matokeo chanya enjoy your self na nissan serena.
 
may be kuna lead ambayo inaleak umeme. nina maana katika nyaya n zinazopeleka umeme kwa jili ya combustion unapfunga bonet kuna kugusana hivyo inafanya earth nas hivyo kuwa na shida lakini machine inegeliona hilo. duhhh
Mkuu asante sana. This is what at last happened! Kulikuwa na waya condenserbulikuwa umechunika hivyo wakati bonet ikifungwa kumbe ikawa inagusana na bati za rejeta. Tatizo la siku nne mfululuzo na mafundi kibao umenipatia ufumbuzi mkuu tena bure kabisaaaa
 
sasa fanya mpango umtafute umpe hata balimi mbili.....
kakuokoa sana ungeenda safari ya mbali ungeunguza gari
 
Mkuu si mpaka itengamae kwanza? Hahaa
Hiyo gari inatumia mfumo wa coil au distributer? kwa uelewa wangu mdogo ili gari ipige res vizuri lazima plug ziwe madhubuti,kama inatumia distributer waya zinazokwenda kwenye plug zikiwa na mchubiko tu inapoteza moto na kusababisha miss.

Hivyo uwezi kuexcelerate ipasavyo, na kama inatumia coil unapaswa kupima coil zote,coz moja ikiwa aifanyi kazi usababisha gari kukosa nguvu na ulaji wa mafuta pia unaongezeka kwakuwa yatakuwa ayachomwi vema kwenye chumba cha coil/plug ambayo aipekeki spark vizuri,
 
Hello habarini niko na gari yangu Toyota Altezza yenye engine ya 1G VVTI. Gari haina nguvu japo ukiindesha pasipo na mlima unaweza usijue kama iko na hiyo shida, Wakati wa asubuhi au ikiwa imepoa muda mrefu wakati wa kuondoka pia inakosa nguvu.Nimecheki ignition coil, spark plugs lakini bado tatizo liko palepale.
Naomba msaada tafadhari. Lakini gari haitoi moshi,haili oil.
 
Mimi si fundi ila ni mdau tu wa magari...NASHAURI

Hatua ya kwanza fanya diagnosis kwa computer
Kama hakuna computer eneo ulilopo, kaa na fundi mzuri mfanye yafuatayo

...angalia level ya transmission fluid kama ipo chini
...fuel filter ikiziba ni tatizo
...angalia air filter..mara ya mwisho umeibadilisha lini.
...angalia aina za spark plugs unazotumia..Alteza ni gari la performance isijekuta umeweka zile plugs za 4500/ -kwa moja
...Kama kuna check engine light, kagua MAF sensor na O2 sensor.

kama hayo yote yapo vizuri...
....angalia fuel regulator pressure/ fuel pump ( mafundi wanajua namna ya kukupimia kama vina nguvu ya kutosha)

Kuna jambo moja au mawili kati ya niliyoeleza halijakaa sawa...
 
Asantee mkuu
 
Mimi pia nilikua na tatizo Kama lako Kumbe tatizo lilikuwa ni MAF pamoja na plug mafundi walinibadilishia waliniwekea ambazo uwezo wake ni mdogo gari ikawa inamis Sana asubuh na likipoa nilipopima ndio likagundulika kuwa MAF imekufa
 
Nenda kwa fundi wa Gearbox nilikua na Nissan Xtrail ikawa inachelewa kubadilisha gia. Nikampelekea mnyama wa gearbox dunian. Sasa nakaribia Mwanza mapumziko ya Kusikilizia
 
Back
Top Bottom