MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

Wakuu nmeshiriki mapenzi na mwanamke akiwa bleed,je kuna shida yoyote?

Sent using Jamii Forums mobile app

Wahi kachemshe zako maji ya moto oga vizuri hakuna tatizo lolote lile litakalokupata. Kuna wengine hadi hivi sasa tumeshabobea kubandua Mbunye zilizo katika Kipindi cha Mafuriko ya mwezi kama hivyo na wala hatujaumwa na ndiyo kwanza afya zetu zinakuwa imara tu. Je ulipiga bao ngapi Mkuu katika hayo Mafuriko ya Bwawa la Mtera kama siyo la Kidatu?
 
ina mathara wewe. kwa nini usingekuwa mvumilivu kwa hizo siku ambazo yupo kwenye bleeding. pia kwa mwanamke kiafya sio nzuri.
 
Sioni shida,Ukipiga unafuta na pamba then unafuta dushe alafu unapiga tena,,Unafuta tu haina shida,Tena ile ni bahati
 
Wahi kachemshe zako maji ya moto oga vizuri hakuna tatizo lolote lile litakalokupata. Kuna wengine hadi hivi sasa tumeshabobea kubandua Mbunye zilizo katika Kipindi cha Mafuriko ya mwezi kama hivyo na wala hatujaumwa na ndiyo kwanza afya zetu zinakuwa imara tu. Je ulipiga bao ngapi Mkuu katika hayo Mafuriko ya Bwawa la Mtera kama siyo la Kidatu?
*Mbunye zilizo kwenye kipindi cha mafuriko*

Mkuu hii sentensi umeitoa kichwani au jehanam...
Kkkkkkkkk
 
Km ingekuwa na madhara ningekuwa nimekufa kabla ya nyerere....endelea kula maisha tu
 
Wahi kachemshe zako maji ya moto oga vizuri hakuna tatizo lolote lile litakalokupata. Kuna wengine hadi hivi sasa tumeshabobea kubandua Mbunye zilizo katika Kipindi cha Mafuriko ya mwezi kama hivyo na wala hatujaumwa na ndiyo kwanza afya zetu zinakuwa imara tu. Je ulipiga bao ngapi Mkuu katika hayo Mafuriko ya Bwawa la Mtera kama siyo la Kidatu?
Ma 4 mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu kujamiiana wakati wa hedhi; medically hakuna madhara yeyote yaliyothibitishwa kiafya kutokea kutokana na mtu/watu kujamiiana wakati wa hedhi, ISIPOKUWA zipo hatari zinazojulikana, nazo ni urahisi wa kuambukizwa magonjwa ya zinaa, ukiwemao UKIMWI japo vitabu vya dini kama biblia inakataza kujamiana wakati wa hedhi.

Cha msingi,unapotaka kufanya tendo hili wakati wa hedhi, ni vema ukashirikiana na mtu unayefahamu hali yake kiafya, preferably mkeo/mwenza wako muaminifu(aliyepima?), na kabla ya tendo ni vizuri akanawa vizuri hii itapunguza uwezekanao wa ku soil bed sheets na damu (but the good news ni; damu ya hedhi haigandi na haiwezi kuweka permanent stains kwenye shuka, sabuni kidogo, imetoka!)

Pia wataalamu wenaongeza kuwa, wakati wa hedhi wanawake wengi hupata raha zaidi kuliko kipindi kingine, pengine kwa kuwa huwa relaxed, na bila hofu ya kupata mimba Kitaalam wanasema hakuna madhara ya kitabibu zaidi ya STDs. Wengine wanasema inasaidia ku-relieve cramps.

Chanzo: Muungwana Blog

.........................For English Audience...................................

About having sex during menstruation, Medically there are no health effects that have been observed to have happen to a person who had sex during menstruation, But there are some effects which are know such as it is very easily to be infected with sexual transmitted diseases (STIs)

The most important thing is, when you want to have sex during menstruation it is better to have it with a person whom you are aware of her health, a faithful partner or a wife (who has been tested). Also experts suggest that, during menstrual many women enjoy sex more than other periods, probably because at this period they are more relaxed, and not afraid of getting pregnant.
 
Back
Top Bottom