• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

Donatila

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Messages
3,168
Points
2,000
Donatila

Donatila

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2014
3,168 2,000
Kuhusu kujamiiana wakati wa hedhi; medically hakuna madhara yeyote yaliyothibitishwa kiafya kutokea kutokana na mtu/watu kujamiiana wakati wa hedhi, ISIPOKUWA zipo hatari zinazojulikana, nazo ni urahisi wa kuambukizwa magonjwa ya zinaa, ukiwemao UKIMWI japo vitabu vya dini kama biblia inakataza kujamiana wakati wa hedhi.

Cha msingi,unapotaka kufanya tendo hili wakati wa hedhi, ni vema ukashirikiana na mtu unayefahamu hali yake kiafya, preferably mkeo/mwenza wako muaminifu(aliyepima?), na kabla ya tendo ni vizuri akanawa vizuri hii itapunguza uwezekanao wa ku soil bed sheets na damu (but the good news ni; damu ya hedhi haigandi na haiwezi kuweka permanent stains kwenye shuka, sabuni kidogo, imetoka!)

Pia wataalamu wenaongeza kuwa, wakati wa hedhi wanawake wengi hupata raha zaidi kuliko kipindi kingine, pengine kwa kuwa huwa relaxed, na bila hofu ya kupata mimba Kitaalam wanasema hakuna madhara ya kitabibu zaidi ya STDs. Wengine wanasema inasaidia ku-relieve cramps.

Chanzo: Muungwana Blog


.........................For English Audience...................................

About having sex during menstruation, Medically there are no health effects that have been observed to have happen to a person who had sex during menstruation, But there are some effects which are know such as it is very easily to be infected with sexual transmitted diseases (STIs)

The most important thing is, when you want to have sex during menstruation it is better to have it with a person whom you are aware of her health, a faithful partner or a wife (who has been tested). Also experts suggest that, during menstrual many women enjoy sex more than other periods, probably because at this period they are more relaxed, and not afraid of getting pregnant.
 
STUNTER

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
13,444
Points
2,000
STUNTER

STUNTER

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
13,444 2,000
Sio kama unavyodhani, kuna wanawake wengine wao mayai yao huwa tayari kurutubishwa only kwenye siku za hedhi(I mean siku zao za hedhi ndio siku za hatari) Kwahiyo ndomana unakuta wanawake wengi wanajiona tasa kumbe wanatakiwa wasex kwenye siku za hedhi ili mtoto aweze kutungwa.
 
Eli79

Eli79

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Messages
25,164
Points
2,000
Eli79

Eli79

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2013
25,164 2,000
Sio kama unavyodhani, kuna wanawake wengine wao mayai yao huwa tayari kurutubishwa only kwenye siku za hedhi(I mean siku zao za hedhi ndio siku za hatari) Kwahiyo ndomana unakuta wanawake wengi wanajiona tasa kumbe wanatakiwa wasex kwenye siku za hedhi ili mtoto aweze kutungwa
How? Naomba elimu hapo!!
 
donbeny

donbeny

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Messages
3,468
Points
2,000
donbeny

donbeny

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2013
3,468 2,000
Donatila,

Nimewahi kujaribu kufanya mapenzi wakati wa hedhi, ila sikupata raha yoyote kwa sababu ya ubaridi wa mwanamke na kutoka damu nyingi wakati wa tendo ,vilevile uke unakuwa umelegea na kuwa kama bwawa.
 
Akhy D

Akhy D

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2013
Messages
366
Points
500
Akhy D

Akhy D

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2013
366 500
Sio kama unavyodhani, kuna wanawake wengine wao mayai yao huwa tayari kurutubishwa only kwenye siku za hedhi(I mean siku zao za hedhi ndio siku za hatari)

Kwahiyo ndomana unakuta wanawake wengi wanajiona tasa kumbe wanatakiwa wasex kwenye siku za hedhi ili mtoto aweze kutungwa
Refference
 
kayaman

kayaman

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2013
Messages
3,965
Points
2,000
kayaman

kayaman

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2013
3,965 2,000
Hakuna tatizo mimi na wifi yenu tumeshafanya kama mara milioni akiwa bleed, chamsingi ajisafishe vizuri tu kabla ya tendo ile damu sio inatoka tu kama vile mtu amechinjwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
R

r2ga

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Messages
1,060
Points
2,000
R

r2ga

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2012
1,060 2,000
Sio kama unavyodhani, kuna wanawake wengine wao mayai yao huwa tayari kurutubishwa only kwenye siku za hedhi(I mean siku zao za hedhi ndio siku za hatari)

Kwahiyo ndomana unakuta wanawake wengi wanajiona tasa kumbe wanatakiwa wasex kwenye siku za hedhi ili mtoto aweze kutungwa
Mkuu tunaomba elimu kidogo hapo
 
kwinyo

kwinyo

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2017
Messages
282
Points
250
kwinyo

kwinyo

JF-Expert Member
Joined May 2, 2017
282 250
Nimewahi kujaribu kufanya mapenzi wakati wa hedhi,ila sikupata raha yoyote kwa sababu ya ubaridi wa mwanamke na kutoka damu nyingi wakati wa tendo ,vilevile uke unakuwa umelegea na kuwa kama bwawa.
Nakubali amepotea yule ambae hana muongozo au muongozo wake umetiwa mikono ya Wanaadam na kazi yake kufuata akili za watu kupitia mitandao,

Nashukuru Mungu kwa kujaalia muongozo ambao hauna Shaka ndani yake (Qur-an). Hedhi ni uchafu ndio maana mwanamke amesamehewa hata kusali, kufunga hata kukutana kimwili na mwenza wa halali.

Leo unakuja na blabla zako zakua masisha ujinga mawazo haya hayana tofauti na ya aliyekua wazili wa Uingeleza David Cameron na Kiongozi wa Kanisa la Anglican

Sent using Jamii Forums mobile app
 
captain temba

captain temba

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2017
Messages
314
Points
250
captain temba

captain temba

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2017
314 250
Duuuh mtu atakaefanya huo wakat nahc atakua na ugumu balaa

sent from aifoni seveni plasi
 
Playboy

Playboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Messages
1,167
Points
2,000
Playboy

Playboy

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2011
1,167 2,000
Ila mie nihudumie, ule gambe mwisho wa siku uniambie upo pluto nooooo way, lazima nirarue, tunafuta ngoma inaendelea.

driller⛏⚒
 

Forum statistics

Threads 1,404,682
Members 531,698
Posts 34,461,531
Top