MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

Kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusisha na mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana..Kuna madhara mengi yanaweza yakatokea na kwa kawaida si madhuri kwa afya ya wote wawili.Hivyo kwa ushauri huwa tunapenda watu wajari sana afya zao na si kuzidumaza na kuendekeza hisia kwani hiloo ndilo kosa kubwa la vijana wengi wa siku hizi...Zifuatazo ni baadhi ya madhara yanayoweza kutokea endapo wawili hawa wakafanya ngono wakati KE yupo katika siku zake{period}..

MADHARA KWA MWANAUME
1.Kupata maambukizi katika njia ya mkojo hadi kwenye kibofu.

2.Maambukizi katika tezi dume(Prostetits) hii inaweza kuathiri mfumo wa uzazi wa mwanaume.

3.Kuziba kwa njia ya mkojo.

4.Utasa au ugumba.

5.Ulegevu wa misuli ya uume na upungufu wa nguvu za kiume.

6.Athari mbaya ya kisaikolojia kwa kuwa anafanya tendo katika mazingira machafu hali itakayompelekea kutolifurahia tendo kutokana na hali ya umaji maji,utelezi, au harufu kali na mbaya na hivyo kuona kuwa mwanamke ni mchafu.Pia hali hii ikizidi inaweza kuathiri hata hufanyaji wa tendo katika siku za kawaida sio za hedhi.

MADHARA KWA MWANAMKE

1.Kupatwa na mambukizi viungo vya ndani vya uzazi kama vile shingo ya kizazi,mirija ya uzazi kwa ujumla wake anaweza kuwa na tatizo la PID( PELVIC INFLAMATORY DISEASES) tatizo ambalo linaweza kuathiri mfumo wake wa uzazi.

2.Maumivu makali ya tumbo hasa kwa wale wanaopatwa na maumivu wakati wa hedhi.(Dysmenorrhea).

3.Utokaji wa damu unaweza ukaongeza kuliko vile inavyotoka kwa kawaida yake.

4.Utasa au Ugumba.

5.Kuvimba kwa kuta za ndani za uke kwa kuwa wakati wa hedhi zenyewe huwa tayari zimevimba au kutanunuka hali pia itamsababishia maumivu kwenye uke wakati wa tendo la ndoa.

6.Athari mbaya ya kisaikolojia:Mwanamke atahisi kuwa mumewe hamjali wala mpendi bali anajali hisia zake za kingono na kwamba yeye anatumika kingono tu.Pia kuona kuwa mumewe ajali afya yake pamoja na maumivu anayoyapata lakini bado huyu mume anataka KU-DO.
MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU
Ni madhara gani mtu anaweza kupata akifanya mapenzi au tendo la ndoa na mwanamke aliyeko kwenye siku zake?
===

===

===





View attachment 1394867

MICHANGO NA MAJIBU YALIYOTOLEWA NA WADAU WA JF

===

===

===


===

===


===
Makala hii imenifungua macho
 
Nafikiri ni vizuri kujadili hili suala kwa kuwa realistic,wengi wetu tunajua heddhi inakuwa vipi,lakini nashangaa kuona watu wanazungumza kama vile kipindi hiki, wanawake huwa wanavuja damu continuously, halafu wanaosema harufu na uchafu, please lets show respect to our sisters!

hivi ni kweli wanawake huwa wananuka wakati wa hedhi? hatuko nao maofisini,kwenye madaladala nk kila siku? nani anaweza kuniambaia leo amekutana na wanawake wangapi waliokwenye hedhi,akawatambua kwasababu ya harufu mbaya wanayotoa?

Kuhusu kujamiiana wakati wa hedhi; medically hakuna madhara yeyote yaliyothibitishwa kutokea kutokana na mtu/watu kujamiiana wakati wa hedhi, ISIPOKUWA zipo hatari zinazojulikana, nazo ni urahisi wa kuambukizwa magonjwa ya zinaa, ukiwemao UKIMWI.

Cha msingi,unapotaka kufanya tendo hili wakati wa hedhi, ni vema ukashirikiana na mtu unayefahamu hali yake kiafya, preferably mkeo/mwenza wako muaminifu(aliyepima?), na kabla ya tendo ni vizuri akanawa vizuri hii itapunguza uwezekanao wa ku soil bed sheets na damu (but the good news ni; damu ya hedhi haigandi na haiwezi kuweka permanent stains kwenye shuka, sabuni kidogo, imetoka!)

Pia wataalamu wenaongeza kuwa,wakati wa hedhi wanawake wengi hupata raha zaidi kuliko kipindi kingine, pengine kwa kuwa huwa relaxed, na bila hofu ya kupata mimba.

Ni hayo tu!
Wewe Ndio umeongea point nna miaka 8 kwenye ndoa huwa nafnya na mke wangu hata akiwa bleeding leo mwaka wa nane sijaona chochote
 
Inawezekana kabisa kusiwe na madhara lakini kwanini ushindwe kuvumilia tu kwa wakati huu.

Unajua Mungu wetu kila jambo alilolifanya ni jema sana ametupatia siku karibu 20 hivi za kufanya jambo hili uzuri na mazingira safi, ipokuwa mwanamke akiwa katika hali hiyo ameagiza tusimguse hasa kwa Wakristo yapo maandiko kabisa na upande wa pili sina uhakika sana ya kitabu chao kinasemaje, lakini asilimia kubwa ya maneno ya vitabu hi yanashahibiana sana kasolo lugha tu.
Kiblia na Quran ni sawa lakini kidunia noooo tatizo
 
Mh inawezekana haina madhara but inatakiwa usafi wa hali ya juu. kwanza kuoga vizuri kabla ya tendo (ikiwezekana kufanyia bafuni sawa tu) sio mtu unatoa matambara yako au pad ilotota unaweka pembeni kisha unaanza kazi hapana. Usafi muhimu.

Pili manjonjo yapunguzwe mf. kulamba chumvi, high speed or rough game nadhani haitakiwi ama sivyo mtachafuana sana.

Tatu na mwisho kuvizia zile siku au muda ambapo flow hakuna au ni ndogo na si wakati ambao mabonge yanatoka wewe ndio unaingiza fimbo yako.

Ila yataka moyo.
Safi sana kunywa sodaaaa ntalipa
 
Utafiti wa kisayansi umethibitisha kuwa wakati wa hedhi, mwanamke anakuwa ni kama mgonjwa na kumuingilia kunamuumiza na ni madhara kwa mume na mke mwenyewe, kwani vidudu huenda vikaingia na mwanamke akakosa kuzaa kabisa na pengine mume mwenyewe kupata ugonjwa kwani damu huwa imebeba vidudu vingi.

Kwa wale wenye kuamini dini ya Kiislam wao wanafata aya hii

Na wanakuuliza kuhusu hedhi. Waambie huo ni uchafu (ugonjwa). Basi jitengeni na mwanamke wakati wa hedhi. Wala msiwaingilie mpaka watwahirike. Wakisha twahirika basi waendeeni Alivyokuamrisheni Allah. hakika Allah Huwapenda wanaotubu na Huwapenda wanaojisafisha
(Qur'an 2: 222).

Aya hii ipo wazi kuwa mwanamke haifai kuingiliwa wakati huo na atakayefanya, amefanya jambo la dhambi na inabidi atubie kwa Allah kwa kutolirudia kosa hilo.

Kwa ufupi, Mtume (saw) amesema unaweza kufanya na mkeo kila kitu katika kuchezeana, Haifahi kumuingilia mpaka amalize ada yake ya hedhi.

Kwa wenye kuamini dini ya kikristo wao wanakatazwa kwa aya hii:

Leviticus 15:20-25

And if a woman have an issue, and her issue in her flesh be blood, she shall be put apart seven days: and whosoever toucheth her shall be unclean until the even.

And every thing that she lieth upon in her separation shall be unclean: every thing also that she sitteth upon shall be unclean.

And whosoever toucheth her bed shall wash his clothes, and bathe himself in water, and be unclean until the even.

And whosoever toucheth any thing that she sat upon shall wash his clothes, and bathe himself in water, and be unclean until the even.

And if it be on her bed, or on any thing whereon she sitteth, when he toucheth it, he shall be unclean until the even.

And if any man lie with her at all, and her flowers be upon him, he shall be unclean seven days; and all the bed whereon he lieth shall be unclean.

And if a woman have an issue of her blood many days out of the time of her separation, or if it run beyond the time of her separation; all the days of the issue of her uncleanness shall be as the days of her separation: she shall be unclean


Ezekiel 18:5-6
But if a man be just, and do that which is lawful and right, and hath not ... come near to a menstruous woman...

There are a few risks to sex during menstruation.

-Many STD organisms thrive in the rich menstrual flow, so any STD contracted is likely to be worse than if contracted while you were not menstruating.

-HIV is more easily passed from an infected woman during her menses.

-Herpes infections often flare up during menstruation, making transmission easier.

-Some scientists believe that sex during menstruation puts a woman at higher risk of pelvic inflammatory disease.

-It should also be noted that, even though this is the time when a woman is least likely to become pregnant, it is not impossible. Don't use menstruation as a contraceptive, because it doesn't work.

A newly published study by Dr. Winnifred Cutler of the Athena Institute for Women's Wellness, Inc. in Chester Springs, PA and her colleagues shows that engaging in coitus during menstruation is associated with heavier bleeding patterns in perimenopausal women

Coitus and Menstruation in Perimenopausal Women
Kiimani sawa
 
Back
Top Bottom