mamsapkhan
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 843
- 264
Inawezekana kabisa kusiwe na madhara lakini kwanini ushindwe kuvumilia tu kwa wakati huu.Unajua Mungu wetu kila jambo alilolifanya ni jema sana ametupatia siku karibu 20 hivi za kufanya jambo hili uzuri na mazingira safi,ipokuwa mwanamke akiwa katika hali hiyo ameagiza tusimguse hasa kwa Wakristo yapo maandiko kabisa na upande wa pili sina uhakika sana ya kitabu chao kinasemaje,lakini asilimia kubwa ya maneno ya vitabu hi yanashahibiana sana kasolo lugha tu.
Na kwa waislamu ni hivyo ni marufuku lkn vile alivyokataza mungu ss ndo tunaviruhusu